Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake...
Wakuu,
Huyu PLO Lumumba ni mtu anayeheshimika sana hapa Afrika.
Huyu alishawahi kuwa Director of the Kenya School of Law na pia alishawahi kuwa Mkurugenzi wa taasisi Kenya Anti-Corruption...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI KUU YA SIASA
TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025
Imetolewa Tarehe 15/11/2025
Utangulizi
Taifa letu la Tanzania lilifanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa...
Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.!
Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa...
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya...
Wakuu,
Japo wamepatikana wawili watatu ambao wanasimama na wananchi na kukemea ukatili uliofanywa.
Nimefarijika sana kuona video hii
---------------------
Mkurugenzi Mkuu wa Al- Hikma na...
Salaam Watanganyika.
Maono na maoni yangu na Hali halisi ndio hii.
Mungu azilaze mahala pema peponi roho za mashujaa wetu waliopoteza maisha katika harakati za kuikomboa nchi yetu.
Kwa jicho la...
Video nyingine imevuja ikionyesha miili iliyozagaa chini kwenye Mochwari ya hospitali ya Mount Meru mkoani Arusha
Tazama video (Inatisha) ilichukuliwa siku ya tarehe 30 Octoba ila aliyeotoa...
Wakuu,
Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa
Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani?
"Je...
Mzee Malissa amekuwq mbadala wa Polepole? Anatoa Amri rais Samia ajiuzulu huko FB na Twitter.
Anadai iundwe serikali ya mpito. Rais awe mwanajeshi au mstaafu au aliyepo jeshini
"Kutakuwa na...
Wakuu,
Hivi hiki chama cha NLD kilipata asilimia ngapi kwenye Uchaguzi Mkuu?
--------------------------------------
CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimetoa wito kwa vijana...
Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali...
Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la...
Wakuu,
Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe.
"Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA...
Munishi anazidi kuipeleka CHADEMA kimataifa, kuna kitu anazidi kukijenga zaidi ndani chama chake!
=================
Leo mjini Rust, Ujerumani pembezoni mwa mkutano mkuu wa Junge Union, Katibu wa...
Hii dunia ina wanafiki wengi, Huyu Sheikh Mwaipopo mchumia tumbo kama wengine, hivi mtu unawezaje kupigwa risasi mbili bahati mbaya, kwamba asisema amedhulumiwa uhai makusudi na mamlaka, naye...
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au...
MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU.
NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na...
- Asema Msimamo wa BAKWATA si wa waislamu wote
- Pamoja na mambo mengine, Sheikh Ponda ameshangazwa na Rais kuipongeza Tume ya Uchaguzi kwa uchaguzi ulioonekana wazi haukuwa huru wala wa haki.
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.