Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kila mara tuongepo siasa nchi hii tuna nukuu maneno ya baba wa taifa, haya ya chini tukubaliana nayo?
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Mtujuze ni Kweli tutaweza kuvote nnje ya vituo tulivojiandikishia??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu Lowassa, huyu huyu wanayemtukana majukwaani leo, alikuwa huko kwao. Akiwa huko walimpenda kweli kweli, na hili linathibitika dhahiri siku jina la Lowassa lilipokatwa. Uliimbwa wimbo matata...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa sasa hizi ndizo channel zinazojitahidi kuonyesha habari bila upendeleo hata kama upo ni kwa kiasi kidogo.Hata hivyo Azam hawaonyeshi vema wafuasi wa mgombea wa UKAWA badala yake wanaonyesha...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi october Mgombea kupitia jimbo la Kibamba apata shida kwa wananchi baada ya kutokuwa haonekani jimboni na kutoa ahadi zisizotekelezeka, wananchi wawa na maswali mengi ya kumuuliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
chama cha demokrasia na Maendeleo (chadema) kimekuwa ndio mdhamini mkubwa wa kambi ya ukawa na taratibu wameanza kuachiwa kijiti chao hasa huku upande wa bara. Muungano mzima ni sehemu tu ya...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Sikudhihaki ndugu yangu wa Bumbui, lakini tofautisha kati ya kazi, fedha, madaraka, huduma na personal satisfaction. Watu wa kizazi kipya kama chako huwa wanaitazama na kuiona Tanzania kwa jicho...
13 Reactions
38 Replies
5K Views
Kuna rais mmoja ambae anachukua tunzo nyingi sana nnje ya nchi lakini ukiniuliza tunzo hizo zimewasadia vipi wananchi wake ni vigumu kueleza rais huyu karibu kipindi chake chote cha madaraka ni...
0 Reactions
5 Replies
911 Views
Natoa wito wangu kwako. Kama wewe ni Mgonjwa basi Mpe kura yako Lowassa kwani naye ni Mgonjwa kama wewe na anajua Uchungu wa Ugonjwa na atakufariji. Kama wewe ni Mgonjwa na Unatengwa na Jamii...
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Nimetokwa machozi nilipoona picha ya Mh Mwakyembe gazeti la mwananchi ya leo akizungumza na Sitta akiwa bado hosipitalini. Mwli wake umekuwa kama nyoka. Kama ni watu walimpa sumu ili watu wapate...
6 Reactions
606 Replies
65K Views
Hizi taasisi za opinion Poll sijui na zenyewe zimeshaitangulia ccm? Hazisikiki tena kama hazijawahi kuwepo na kutuletea utafiti wa kuungaunga.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeangalia mkutano wake kwa ufupi kupitia taarifa ya habari ya ITV asubuhi hii na kujiridhisha pasi na shaka mgombea huyu wa urais kupitia ACT-Wazalendo anajimudu. Wananchi ambao walihudhuria...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi wote ni wanafunzi na wahanga wa Dr. Slaa kifikra na kisiasa. Dr. Slaa umetufundisha watanzania wote kuwa CCM haifai na ndio chanzo cha ufisadi, ubadhilifu, wizi, matumizi mabaya na sera mbaya...
20 Reactions
79 Replies
11K Views
Yaani huyu mzee amedhamilia kumwaga Damu utachukuaje Vijana wakampinge Lowassa huku unajua kabisa watapigwa ama kuuawa ??? Mimi nina audio yake natafuta kijana nimpe video camera muone utumbo wa...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Mambo vipi wapiga kura wenzangu.Huku kwetu kesho ni fiesta ya bure aisee.Magufuli anakuja kunadi sera zake huku akiwa amesindikizwa na wasanii Wa bongo fleva.Namuona hapa fid Q,Young D,Mr...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Watanzania tumeshaamua basi mara hii ni lazima #tuwafundishe namba hawa CCM. Hii namba 25.10.2015 wataikumbuka milele #Tutawafundisha Namba
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika nchi zilizoendelea cha umma ni cha umma,ajira za umma zote ni za mkataba lakini hapa TZ MAAJABU!baba yuko utumishi sasa miaka 40!,mama yuko utumishi sasa miaka 30,mtoto yuko utumishi sasa...
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Leo hii serikali kupitia waziri wa mambo ya nje na mamlaka ya mwasiliano nchini TCRA wametoa matamko katika nyakati tofauti ya kuonya juu ya ufuatiliaji wa karibu wa uchaguzi nchini utaofanyika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Mtoto wa Wassira amenusurika kuchomwa moto na wananchi wa Bunda baada ya kukamatwa akigawa pesa kwa baadhi ya watu ili wakafanye fujo kwenye mkutano wa kampeni ya Ester Bulaya wa CHADEMA huko...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
Back
Top Bottom