Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na. M. M. Mwanakijiji Sioni namna gani Samia anaweza kujiuzulu halafu mambo yakaisha. Video na picha zinazoendelea kutoka sasa hivi na zile zitakazotoka baadaye zinatudokeza uzito, ukubwa na uovu...
72 Reactions
66 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani...
1 Reactions
6 Replies
335 Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata...
2 Reactions
17 Replies
654 Views
Naona ndugu zangu wamechoka kuchafuliwa! Ila kama mnakataa kwa hiari yenu sawa lakini kama mnatumika kisiasa basi mtazidi kuharibu ============= Umoja wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Pwani, umetoa...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu nchini wamekemea vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa mchakato wa uchaguzi na kusisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kudumisha amani, kujenga hoja zenye uzito...
2 Reactions
30 Replies
813 Views
Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari. - Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania. -...
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani.
1 Reactions
9 Replies
425 Views
Kamanda habari ikufike 9Dec ni maandamano ya amani hata wewe unakaribishwa sana na si vurugu kama ulivyotooha wewe! =============== Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Mahamoud Hassan Banga...
0 Reactions
5 Replies
184 Views
Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Aliyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombea pekee CCM, Ng'wasi Damas Kimani ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
1 Reactions
12 Replies
593 Views
Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi...
9 Reactions
14 Replies
500 Views
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amekula kiapo rasmi Bungeni leo Novemba 18, 2025, baada ya kuteuliwa jana kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kwa kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Othman Chande iliyozunguka nchi nzima mwaka 2023 ilimaliza kila kitu. Ilishauri mambo mazuri sana ambayo kama yangefanyiwa kazi, utekaji, wasiojulikana...
2 Reactions
0 Replies
261 Views
Kwa maneno mengine hapa Rais Samia ni kwamba anasema hizo taasisi za nje zitapiga kelele tu kuhusu mauaji yaliyotokea ndani na wahusika kuwajibishwa na uchaguzi wenye matobo mengi ambao umempa...
2 Reactions
13 Replies
623 Views
Kwa wenye akili timamu, hapa hakuna maridhiano Ikiwa viongozi wa dini mbalimbali, mzee warioba na wadau mbalimbali walisisitiza kuwepo na maridhiano kabla ya uchaguzi na hawakusikilizwa, ni...
5 Reactions
9 Replies
405 Views
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate...
1 Reactions
21 Replies
693 Views
Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata. Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata Gen Z hawana ofisi viongozi...
7 Reactions
12 Replies
516 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Nanauka kuwa kuwa Waziri wa Vijana na hatokuwa na Naibu Waziri kwa sasa kwakuwa Wizara ipo chini ya Ofisi ya Rais na watakuwepo wa kumsaidia.
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Rais wa Umoja wa Wanazuoni Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), Sheikh Abdallah Ndauga, ametoa wito mahsusi kwa vijana kote nchini kujitokeza kudai haki zao kwa njia ya ustaarabu, lakini bila kusahau...
0 Reactions
6 Replies
243 Views
Back
Top Bottom