Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari za leo wana Jukwaa la sheria, jamani naombeni msaada wa kesi ambazo zina reflect constitution supremacy in Tanzania kuanzia mwaka 2000 hadi 2020. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Nahitaji msaada wa kisheria au kwa mwenye uzoefu wa masuala ya kudai, au ushauri nipate wapi taasisi inayojihusisha na masuala ya madai. Kwa anayeweza na mwenye uzoefu kisheria nahitaji msaada...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia na kuona watu wenye dhamana kubwa wakiwaamuru polisi wawakamate na kuwaweka ndani watu ambao hawakimbii, hawaleti fujo na wala hawatishii usalama wa watu wengine. Wanaagiza watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JamiiForums, nina kesi ya madai ambapo upande wa pili una wakili na upande wangu nilimuweka wakili akala hela akaingia mtini. Tulipewa muda wa kupeleka majibu ya hoja zilizokuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Kwanza kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kwa wanasheria wote mliopo humu jukwaani. Kwa kifupi nilipata elimu humu jinsi ya kumpata mtoto wangu toka kwa mama yake baada ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Urithi ni kitu chochote mtu anachokipokea kutoka kwa marehemu hasa pale panapokuwa na mahusiano ya kindugu au kinasaba baina ya mrithi na marehemu. Ardhi ni mojawapo ya mali ambayo inaweza...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kuajiri mhasibu asiye na CPA iwapo mna bajeti inayovuka bilioni moja kwa mwaka. Kama ni kosa, ni kwa kifungi kipi cha sheria ipi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi. Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, natambua moja ya mawasiliano ni hii mitandao ya kijamii ambayo imetengenezwa kuwasiliana mtu zaidi ya mmoja tena kwa muda huo huo. 'Whatsapp' ni mojawapo ya mitandao hiyo, ninachowaomba...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Tafadhali wadau za jioni? Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam, Naomba kufahamishwa kidogo juu ya nyaraka hizi za kisheria kwa mnaofahamu. Je, inawezekana kwa mkazi wa mkoani, kutakiwa kuripoti kituo cha polisi Osterbay, Dar es Salaam, huku yeye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sheria inasemaje kama mfugaji akiingiza mifugo wake kwenye pasipo ridhaa ya mwenye shamba hilo?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimefatwa na Mama mmoja asiyejua kusoma lakini yupo kwenye ndoa. Ameishi na mumewe kwa zaidi ya Miaka Kumi lakini hakubahatika kupata Mtoto. Mume wake kamshawishi wamrithishe kijana mmoja Mali zao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu bosi wangu anataka kuniweka matatani kwa kunibebesha fedha kiasi kikubwa kupelekea wafanyakazi mishahara site sasa tumekaa na nimeona ananiweka kwenye risk kubwa ya kuvamiwa na kuibiwa au...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Power of Attorney ni kitu ambacho nimekuwa nakutana nacho mara kwa mara. Ni kitu ambacho kwa maoni yangu, si cha kawaida sana Tanzania kama ilivyo nchi za wenzetu. Inawezekana ni...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Cabotage Law hii ni sheria inayowekwa na nchi ili kulinda huduma za usafirishaji wa ndani wa majini kwa wazawa/kampuni za ndani kutoa huduma kati ya bandari moja na nyingine ndani ya mipaka ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
26.-(1) Pale mtu yeyote amehukumiwa kifo, hukumu hiyo itaelekeza kwamba mtu huyo anyongwe kwa kitanzi mpaka afe: Isipokuwa kwamba, endapo mwanamke aliyehukumiwa adhabu ya kifo atakuwa mjamzito...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuuliza ili nipate maoni yenu waungwana kuhusu hili: Je ikitokea mwanamke/msichana amepata ujauzito kutokana na kuwa Mhanga Wa ubakaji na kwa bahati nzuri yule mbakaji akaswekwa ndani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana wakati natoka zangu mkoa narudi jijini nikiwa na drive nikapigwa tochi kwenye limit speed ya 50km/hr, Mimi nikiwa na speed ya 58km/hr, nikaja kukamatiwa mbele. Askari akanisimamisha na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…