Wanasheria/ Ma HR naomba kujuzwa sheria inayomtaka mwajiri kulipa wafanyakazi kupitia Benki

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,348
2,000
Wakuu bosi wangu anataka kuniweka matatani kwa kunibebesha fedha kiasi kikubwa kupelekea wafanyakazi mishahara site sasa tumekaa na nimeona ananiweka kwenye risk kubwa ya kuvamiwa na kuibiwa au kupoteza uhai

Wanasheria nisaidieni kifungu cha sheria kinachombana mwajiri kulipa mfanyakazi mshahara kupitia benki ili nikiweke hapa kwenye barua ya kumlazimisha kutoka kwa wafanyakazi walio hapa site

Wanasheria na Ma HR msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
9,191
2,000
LICHADI siamini kuwa umeshindwa kujenga hoja kuhusu usalama wako na fedha kwa mwajiri wako.
Si kila kitu kilaximishwe na sheria bali mnaweza kufanya mazungumzo ya kawaida na akakuelewa tu
Wakuu bosi wangu anataka kuniweka matatani kwa kunibebesha fedha kiasi kikubwa kupelekea wafanyakazi mishahara site sasa tumekaa na nimeona ananiweka kwenye risk kubwa ya kuvamiwa na kuibiwa au kupoteza uhai

wanasheria nisaidieni kifungu cha sheria kinachombana mwajiri kulipa mfanyakazi mshahara kupitia benki ili nikiweke hapa kwenye barua ya kumlazimisha kutoka kwa wafanyakazi walio hapa site

Wanasheria na Ma HR msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,964

Kwa upande wa cash nadhani kuna sheria kiasi fulani lazima uwe na police escort; kama anataka ulipe cash basi agharamikie police escort wakati wa kuchukua benki, kupeleka site na kurudisha kiasi kilichobaki. Vile vile lazima akukatie bima inahusiana na kubebana na cash
 
bora uhai

Member
Jan 15, 2019
59
125
Employment and labour relation act 2004/ Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 tukija kifungu cha 28 , (b) malipo ya mshahara yatalipwa eneo la kazi italipwa kwa CASH au kama kutakuwa na makubaliano mengine baina ya muajiri na waajiriwa sasa basi kupitia hayo makubaliano wafanyakazi wawe wameandika maridhiano yao ya kutaka mishahara yao ipitie kwa njia ya bank ila sasa hapo changamoto itakuwa moja boss atakubari mfano sasa nani atabebe zile bank charges za kufanya transfer ya ile mishahara maana yake wafanyakazi wakubali ilo huwa sio gharama kubwa kwa DTB huwa shilingi 100 kila transfer ya mshahara ila tu endapo muajiri atakuwa na account DTB hivyo watakuwa wanahamisha kirahisi au angalieni muajiri wenu ana account gani ili mfungue huko

NOTE Usije ukakubaliana makato na boss wako ya gharama za kufanya transfer ya malipo kabla ya makubaliano na wafanyakazi utakuwa unavunja kifungu cha 28 cha sheria ya kazi na mahusiano kazini mwaka 2004 inachotaka makato yoyote kuwe na makubaliano ya pande 2 au iwe ni yale ya kisheria kama PAYEE yani Kodi na NSSF

Cha mwisho kwakuwa hii sio lazima ni ombi tumia kuomba busara zake maana yake na yeye akisimamia vifungu hamuwezi fika
 
Munjombe

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
225
250
hakuna hicho kifungu ni 27 b not 28 b

[/QUO
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom