Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kuna mwanamke nimeishi nae kwa muda wa miezi 6, mambo yakaharibika baada ya kumkuta na mwanaume chumbani kwake, kukatokea ugomvi wa hapa na pale. Sasa huyu mwanamke ananishitaki mahakamani kwa...
2 Reactions
39 Replies
24K Views
Habari za wakati huu wanajamvi! . Naomba msaada wa kisheria au kimawazo . Mm hapa nilikuwa nimepangisha chumba lakn kwa bahati mbaya tulivunja mkataba na mwenye nyumba kabla ya kumaliza kodi...
2 Reactions
9 Replies
630 Views
Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana. Lakini mwezi Disemba 2025 alipiga makenji nyumba yangu, akapima na kunidanganya kwamba...
6 Reactions
38 Replies
812 Views
- Amtetea Profesa Mahalu Ashangaa mashitaka yake Amtaja kuwa mwadilifu Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akisindikizwa kuelekea chumba cha mahakama kutoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Aina za Sheria na Kazi Zake 1. Sheria ya Jinai (Criminal Law) Inahusika na makosa ya uhalifu. Kuwashtaki na kuwatetea wahalifu. Uhalifu wa mtandaoni na makosa ya kifedha. Uchunguzi wa ufisadi na...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Kifungu cha 308 (Additional Witnesses for Prosecution Act) cha CPA (Criminal Procedure Act), kama kinavyosomeka hapo chini kinahusu Shahidi Mpya (Additional Witness) na sio Ushahidi Mpya...
10 Reactions
10 Replies
596 Views
Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba...
0 Reactions
3 Replies
600 Views
Kwanini nauliza hivyo: Ushahidi wao unafanana, kama kuna kitu wanataka kustablish nadhani kwa mashahidi hao inatosha maana wanafanana " pleadings" zao. Why call many of the same kind? Pili...
4 Reactions
9 Replies
411 Views
Kuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake. Ni sawa?
5 Reactions
15 Replies
473 Views
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC...
1 Reactions
93 Replies
9K Views
Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo...
2 Reactions
3 Replies
553 Views
Natafuta mwanasheria ambaye anaweza kuwa available Jumatatu asubuhi kumsaidia rafiki yangu apate interim order ya jaji ili kumaintain status quo ya umiliki wa ardhi (kuzuia transfer). Application...
2 Reactions
0 Replies
492 Views
Niliwahi kuleta kesi hizi hapa awali, ndipo akatokea jamaa mmoja nikaweza kuwapa namba zake na kuwaunganisha na mwanasheria wa humu. Jamaa huyo aliwasaidia sana hadi wakafanikiwa kushinda kesi...
0 Reactions
8 Replies
370 Views
Deed Poll Ni nini? Ni nyaraka ya kisheria inayotumika kubadilisha jina la mtu. Nyaraka hii hua inasainiwa na mtu ambaye anabadilisha jina pekee tofauti na nyaraka nyingine za kisheria ambazo...
16 Reactions
44 Replies
37K Views
Nina kesi ya madai. Nahitaji mdaiwa wangu apelekewe hiyo document. kama kuna mtu anaweza nifanyia hiyo kazi anicheki. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari, Naomba msaada wa land form namba 29, namba 30, namba 35 na deed of gift katika soft copy. Ntashukuru sana kwa msaada
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka...
1 Reactions
5 Replies
249 Views
Naombeni msaada kwa anayejua tofauti ya hizi fomu mbili. Je zina tumika zote kwa pamoja? na ni wakati gani wa uthamini?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Wana JF naomba Ushauri na msaada wenu katika hili. Nilikuwa masomoni katika chuo kimojawapo hapa Tanzania, kwa masomo ya shahada ya elimu (Sayansi) kwa mchepuo wa Fizikiana na Chemia, Bachelor of...
1 Reactions
23 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…