Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Sorry i hv an assignment to discuss the law relating to sale of goods and the law relating to negotiable insrument. Naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali kama vile siasa, uchumi, technologia na mengine ndani ya JF. Katika majukwaa yote hayo nimekuta hoja zikitolewa ama kama mtu anahitaji ufafanuzi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
A yupo kituo cha basi akisubiri kupata usafiri. ikatokea ajali ya gari karibu na yeye! B alikuwa msafiri ktk gari iliyopata ajali. Kwenye ile ajali mkono wa B ukakatika na kumrukia A, na kumuua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Monday, March 28 2011 at 00:00 A UK court has ordered a former hospital director to pay £25,000 ($41,000) to a Tanzanian woman she kept as a virtual slave. Mwanahamisi Mruke, 47, was flown...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo India nilikuja kupiga pepa, sasa baada ya pepa nikaona ngoja nisubirie majibu, sasa majibu yashatoka ila bahati mbaya i have one more pepa to write again...hapa ndipo tatizo linapoanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
In which circumstances the doctrine of frustrations may applies
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kesi za ardhi sasa kuharakishwa Send to a friend Thursday, 24 March 2011 21:19 Kesi za ardhiJames Magai MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imeandaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hivi jamani kuna sheria inayokataza mtu kutembea au kusafiri akiwa na fedha nyingi cash mfano anapoenda kupanda ndege, maana nimeshasikia baadhi ya watu wakizuiliwa kwenye viwanja vya ndege mara...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ukijenga nyumba na kukaa hapo kwa muda mrefu, kisha baada ya miaka barabara ikachongwa na kupitia karibu sana nyumba hiyo kiasi cha kuacha hatua chache. Hapa sheria inasemaje kama nyumba hii sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi akikumata kwa kosa lolote wewe ukiwa dereva wa gari ndogo,saloon car,na kwa bahati mbaya lile kosa likawa linahitaji document au uthibitisho fulani ambao kwa muda huo hauwezi kupatikana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani hizi ofisi zetu zenye uhusiano na serikali zinaajiri watu ambao ni incompetent kabisa, wananchi tunaichukia nchi yetu kwa ajili ya mambo haya. Hebu siku moja jitolee tu uende pale Law...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Mashahidi dhidi ya bosi wa Richmond wakwama Thursday, 24 March 2011 20:04 newsroom NA FURAHA OMARY MASHAHIDI wa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa ya Sh11 milioni na mtu asiyemfahamu ili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtu anapokuwa na kesi ya jinai mahakamani na anayemshitaki akaandika barua kwa hakimu (mahakamani) kuwa hana mpango wa kuendelea na kesi kwa maana wao wenyewe wamesuluhishana hivyo hakimu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Small budget stalls justice,says Minister Send to a friend Wednesday, 23 March 2011 22:50 By Florence Mugarula The Citizen Reporter, Dar es Salaam: Delays...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
WAKATI bado anakabiliwa na kesi ya kufanya maandamano bila kibali mjini Arusha, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ameingia matatani kwa mara nyingine, safari hii Mahakama ya Wilaya ya Hai...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Waungwana nimeshindwa kuhamisha habari toka kidau.blogspot ili tuijadili.Habari yenyewe inataka Dr.Slaa ashtakiwe kwa kumuita Rais fisadi.Naomba mtaalam anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Learned brothers... Kuna maswali mbalimbali ningependa kuyaweka hapa kwa kusudi la kuyajadili na kupata mwangaza zaidi kuhusu hili swala zima la uraia. Hii imetokana hasa na debate kubwa iliyokuja...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Salaam wandugu! Wadau naombeni msaada wa kisheria kuwa;- 1. Ni kifungu gani cha katiba au sheria inayomzuia mtumishi kama daktari, mwalimu nk kugombea nafasi tajwa hapo juu? 2.Anapaswa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaji Zenji awajibu wanasheria Send to a friend Sunday, 20 March 2011 21:01 Salma Said, Zanzibar JAJI Mkuu Zanzibar, Hamid Mahmoud amesema katiba ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…