Nimekwama hapa(T-Visa Problem) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekwama hapa(T-Visa Problem)

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Sizinga, Mar 28, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Nipo India nilikuja kupiga pepa, sasa baada ya pepa nikaona ngoja nisubirie majibu, sasa majibu yashatoka ila bahati mbaya i have one more pepa to write again...hapa ndipo tatizo linapoanza!
  Returning ticket yangu ni tarehe 15/4/11, kwakuwa kulikuwa na formalities nyingi za Student Visa ikanibidi nichukue Tourist(T)-Visa 6 month validity na inaexpire tarehe 25/4/11. Tarehe ya mtihani bado haijatoka lakini nilivyofuatilia university kwa Controller of Examz nimeambiwa pepa zinaanza tarehe 25/4/11 ambapo ndio visa yangu inaisha. Kuhusu ticket nishaonana na Quatar Airwayz office wameniambia mwisho wa ticket yangu ni tarehe 28/4/11 kwa kulipia tena dola 50..ikizidi hapo itabidi ticket iwe ya mwaka nilipie dola 300 na wakaniambia niende High Commision nikaextend visa. Sijaenda bado kwa kuwa timetable haijatoka, lakini kufuatilia online nimeona T-visa hairuhu ku-extend na siwezi kurudi home mpaka niifanye hii pepa, sasa hapa wenye experience na matukio kama haya naomba msaada, au sheria zinasemaje, nina hofu na kupigwa NO-ENTRY. Plz help.
   
 2. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa nini usiwaone travel agents ambao wanaweza kukupa msaada mkubwa kabla ya kujua nini cha kufanya?
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280

  Nenda ubalozini utasaidiwa.Usiridhike na habari za kwenye mtandao wao.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Travel agents wanaweza ku-deal na mambo ya passport au visa??ok thanx though
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ubalozi ni mbali mno toka hapa ninapoishi, nipo south na ubalozi upo north(delhii), umbali wa siku 3 kwa treni na siku 6 go and back...sijafikiria kwa sasa kwenda huko
   
 6. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nchi haiwezi kubadilisha taratibu zake za utoaji visa kwa sababu yako. Umeshauriwa uende ubalozi waone watakusaidia vp unasema huwezi..sasa unataka wakufuate nyumbani kwako.

  Andaa docs zote za kusupport extension yako. na kama tarehe ya mtihani haijulikani issue inazidi kuwa tata.

  Nenda ubalozi tu, au wasiliana nao uone watakushauri vp?
   
Loading...