Jee ana kesi ya kujibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee ana kesi ya kujibu?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mgen, Mar 14, 2011.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  A yupo kituo cha basi akisubiri kupata usafiri.
  ikatokea ajali ya gari karibu na yeye!
  B alikuwa msafiri ktk gari iliyopata ajali.
  Kwenye ile ajali mkono wa B ukakatika na kumrukia A, na kumuua pale pale!
  Jee B Akipona matibabu ana kesi ya kujibu?
  Wanasheria nisaidieni.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mkuu this is an extraordinary illustration I have ever seen in my readings!
  Kuna mambo mawili hapa, la kwanza, ni suala la usalama barabarani na la pili, kifo cha mtu. Illustration haikueleza kuwa B alikuwa anaendesha hiyo gari bali alikuwa msafiri wa hiyo gari, hivyo, kama haitodaiwa vinginevyo basi B hawezi kushtakiwa kwa kosa la usalama barabarani, isipokuwa dereva wa gari hiyo.

  La pili, kwa kuwa B ni victim wa hiyo ajali na kiungo chake kimekatika na kumuathiri mtu mwengine hawezi kushitakiwa kwa kosa la kusababisha kifo cha mtu,definately mashitaka hayo yanakuja kwa dereva (kwa kuwa B siyo dereva kama ilivyosemwa hapo juu) atakayejibu shitika la kusababisha kifo na madhara mengine kwa shitaka la mwanzo, pamoja na ulemavu wa B.
  My opinion, I could be wrong too!
   
 3. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Ni issue ya kutumia logic na kupata jawabu!
   
 4. L

  Leornado JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii scenerio cjapata ona.

  Kama marehemu A alikuwa ndani ya sehemu ya barabara ana contributory negligency na kama B alikuwa msafiri kwenye hiyo gari basi dereva atashtakiwa kwa reckless driving na kusababisha kifo.
   
 5. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu nimeinote.
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama B atakuwa na kesi ya kujibu hapo. Sidhani kama alikuwa na nia ya kumwua A.
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Nadhani swali lako limejikita kwenye issue moja je B ndiye aliyeua?

  Ili kujibu swali hilo inabidi kwanza kuwe na hati ya uchunguzi wa marehemu A, hiyo hati itaeleza sababu ya kifo chake, kama hakuna hati ya kifo basi kesi yoyote ya mauaji haiwezi kusimama.
   
Loading...