Mfanyakazi wa serikali kugombea ubunge/udiwani: naomba mwongozo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa serikali kugombea ubunge/udiwani: naomba mwongozo.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by nsami, Mar 13, 2011.

 1. n

  nsami Senior Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wandugu!
  Wadau naombeni msaada wa kisheria kuwa;-

  1. Ni kifungu gani cha katiba au sheria inayomzuia mtumishi kama daktari, mwalimu nk kugombea nafasi tajwa hapo juu?

  2.Anapaswa kufanya nini anapotaka kutimiza azma yake bila ku-violate sheria husika?
  Ahsante
   
 2. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  1. Kuna nyaraka mbalimbali za serikali kama standing order na public service act, 2002 na kanuni zake.

  2. Anapaswa kuresign katika post yake hiyo ya ualimu, daktari n.k.
   
Loading...