Dr.Slaa ashtakiwe

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Waungwana nimeshindwa kuhamisha habari toka kidau.blogspot ili tuijadili.Habari yenyewe inataka Dr.Slaa ashtakiwe kwa kumuita Rais fisadi.Naomba mtaalam anisaidie.
 
Heading yako Bomu!
Lakini pia unasema..."kwa kumwita RAIS FISADI"..rais nani?

My take:
Yeyote mwenye nia hiyo aifanye haraka sana, maana kuna shahidi lukuki za kuthibitisha ufisadi huo!
Ushahidi mmojawapo wa hilo ni kwamba HAWATATHUBUTU KUMSHITAKI DR SLAA....right?
 
Kwani kamuita mara ya kwanza, kwenye list of shame ya mwembe yanga Mhe si alikuwemo?
 
hivi viblog vya uchochoroni ndio vinakusumbuwa? mimi binafsi siko interested na habari za kipuuzi kama hizo kutoka kwenye viblog vya wapuuzi wenzao. halafu rekebisha kichwa cha habari.
 
Teh teh teh teh teh,wajaribu waone kama patakalika hapa. Katk dunia ya sasa matumiz ya mabav ktk kuzma mambo hayana nafas tena.
 
Waungwana nimeshindwa kuhamisha habari toka kidau.blogspot ili tuijadili.Habari yenyewe inataka Dr.Slaa ashtakiwe kwa kumuita Rais fisadi.Naomba mtaalam anisaidie.

kwan uongo? JK sio fisadi tena sio fisadi mdogo bali ni mkuu wa mafsadi!
 
Back
Top Bottom