kusafiri/kutembea na fedha nyingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kusafiri/kutembea na fedha nyingi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JAYJAY, Mar 3, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  hivi jamani kuna sheria inayokataza mtu kutembea au kusafiri akiwa na fedha nyingi cash mfano anapoenda kupanda ndege, maana nimeshasikia baadhi ya watu wakizuiliwa kwenye viwanja vya ndege mara baada ya kugundulika kuwa wamebeba cash nyingi kwenye brief_cases zao.
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ndio ipo sheria ya aina hiyo. Nafikiri ni money laundering relating law. Huwa kuna limit ya cash unayoweza kusafiri nayo kwenda nje. Limit ikizidi itakubidi utoe ushahidi kudhibitidha kuwa hizo pesa ni zako na kama umezipata kihalali
   
Loading...