Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,282
- 2,041
Wadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja.
Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa Manispaa juu ya Ushindi wa Kesi ya Ardhi na kuambatanisha Nakala ya Hukumu lakini Sikujibiwa hiyo barua na hakuna Utekelezaji wowote uliofanyika mpaka leo.Je Wanasheria ni HATUA zipi natakiwa Kumchukukia huyo MKURUGENZI wa Manispaa ili Atekeleze HUKUMU iliyotolewa?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app