MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wadau wa Masuala ya Mirathi naomba ufafanuzi juu ya hili. Je, Sheria inasemaje juu ya Mtoto aliyepatikana NJE ya NDOA je ana HAKI ya Kurithi MALI zilichochumwa na WANANDOA hao?
what does the law say?Swali linatoka kwa nani??
As long as ni mtoto wako, awe wa nje ya ndoa, ndani ya ndoa, pembeni ya ndoa, ana haki sawa sawa na watoto wengine.
Unless kama kuna mambo mengine binafsi yasiyojulikana lakini naombeni mumpe na yeye kiasi kidogo mzazi wake alichotafuta. Hakuomba azaliwe nje ya ndoa, ni starehe za wazazi wake.
what does the law say?
Hoja ni sheria mkuu sio hisani Je inasemaje??Swali linatoka kwa nani??
As long as ni mtoto wako, awe wa nje ya ndoa, ndani ya ndoa, pembeni ya ndoa, ana haki sawa sawa na watoto wengine.
Unless kama kuna mambo mengine binafsi yasiyojulikana lakini naombeni mumpe na yeye kiasi kidogo mzazi wake alichotafuta. Hakuomba azaliwe nje ya ndoa, ni starehe za wazazi wake.
Hoja ni sheria mkuu sio hisani Je inasemaje??
Hicho Chuma hapo juu wala hakioni, akili zake zote ziko kwenye kutaka kudhulumu ndugu zake kwa kigezo cha ndoa zilizoletwa na wageni!!Kula chuma hapo juu mkuu