Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
Wadau kunamtu aliajiliwa na kupewa fixed one year contract.

Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Baada ya kupewa mkataba wa pili ,baada ya miezi mitano mwajili anesitisha mataba wake akisema amebanisha new streams of activities hivyo kwa kuwa kwenye mjataba Kuna kipengere Cha one month notice basi anampa one month notice basi na kumusafirisha kwenda alikomtoa
Je hii ni sawa?

Nini haki za mfanyakazi huyu kwa mazingira haya?
 
Wadau kunamtu aliajiliwa na kupewa fixed one year contract.

Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Baada ya kupewa mkataba wa pili

Nini haki za mfanyakazi huyu kwa mazingira haya?

1. Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Bmo wake,ina maana tartibu mpya za kazi,majukumu pamoja na mshahara unaweza kubadilika katika mkataba mpya hivyo sasa ni maamuzi ya Mfanyakazi kusoma na kuelewa majukumu, na tartibu mpya za kazi na kama ameridhia basi atasaini mkataba huo mpya wa Ajira,kitendo cha kusaini Mkataba Mpya inadhihirisha nia au dhamira yake ykaukubaliana na tartibu na masharti yote ya kazi kama ilivyoelezwa katika Mkataba. HIVYO SUALA LA YEYE KULALAMIKA JUU YA MAJUKUMU YA KAZI ALIYOPEWA KWA SASA NAONA HAINA MASHIKO.
 
Baada ya kupewa mkataba wa pili ,baada ya miezi mitano mwajili anesitisha mataba wake akisema amebanisha new streams of activities hivyo kwa kuwa kwenye mjataba Kuna kipengere Cha one month notice basi anampa one month notice basi na kumusafirisha kwenda alikomtoa
Je hii ni sawa?

Nini haki za mfanyakazi huyu kwa mazingira haya?
2. Kuwepo kwa Kipengele cha KUTOA NOTISI YA MWEZI MMOJA AU MSHAHARA WA MWEZI MMOJA haikuwekwa kwa ajili ya Mwajiri kuubuse due process of the laws.
Naomba kufahamu kama tayari ameshasimamishwa kazi au bado? kama bado nafikiri ni vyema kusubiri hadi wakati utakapofika maana kupitia barua za kusimamishwa au kuachishwa kazi itaeleza sababu za yeye kuachiwa kazi na Mwajiri,licha ya sababu kutajwa lazima taratibu zifuatwe pia.
 
Hiv mfano,

Nina wafanyakazi 100 wana mkataba wa miezi 20, ila nikaona wamekuwa wengi so nahitaji kupunguza,
Nikawapa hio one month notice wote ninaotaka kuwapunguza, ni kosa ? Let's say napunguza 40 sababu ya financials za kampuni,
 
Nachofahamu hakuna kosa kati ya Mwajiri ama mtumishi kusitisha mkataba, notisi inaweza kutolewa kwa pande zote tofauti ni kuwa je kuna malipo au la

Mfano kwa mwajiri ukitoa notisi ya siku 30 kuacha kazi, unafanya kazi ila mshahara huo huwekewi, na ukiacha ndani ya masaa 24 unapaswa kulipa kiasi cha mshahara wa mwezi mmoja

Mwajiri akisitisha ,anaweza kukuwekea mshahara wa sawa na mwezi mmoja na akawa amekuachisha kazi kwa masaa 24 au akupe notisi ya mwezi mmoja

Mengineyo hutokana na mkataba mliokubaliana kama kuna malipo ya nauli, kifuta jasho n.k hiyo itafahamika kutokea kwenye nakala za mkataba wenu
 
Dunia ya sasa ya Wahitaji wa Ajira wengi kuliko watoa ajira usitegemee Haki za Mwajiriwa..., Sababu Atleast mtu anapata hata senti..; Serikali ikiamua ikazie labda haki za Walinzi na Walipwe vizuri wakati Hata hizo Kampuni zenyewe maji ya Shingo zinaweza kujikuta zinafirisika na watu wengi zaidi kuingia mitaani...

In short kinachoendelea sasa hivi sio sustainable
 
Hiv mfano,

Nina wafanyakazi 100 wana mkataba wa miezi 20, ila nikaona wamekuwa wengi so nahitaji kupunguza,
Nikawapa hio one month notice wote ninaotaka kuwapunguza, ni kosa ? Let's say napunguza 40 sababu ya financials za kampuni,
itabidi ufuate taratibu za kuwapunguza kazi(Retrenchment)au uvunje maktaba kwa Makubaliano(early termination),lakini itabidi utoe sababu ya wewe ya kupunguza mfanyakazi/wafanyakazi husika na kuonyesha ulifuata utaratibu wa kisheria
Lakini kutoa notisi ya mwezi mmoja ua mshahara wa mwezi mmoja bila sababu za msingi na pasipo utartibu unaweza jikuta unaangukia kesi ya Breach of contract au unfair termination,Hivyo ni bora kuwa makini katika hilo
 
Nachofahamu hakuna kosa kati ya Mwajiri ama mtumishi kusitisha mkataba, notisi inaweza kutolewa kwa pande zote tofauti ni kuwa je kuna malipo au la

Mfano kwa mwajiri ukitoa notisi ya siku 30 kuacha kazi, unafanya kazi ila mshahara huo huwekewi, na ukiacha ndani ya masaa 24 unapaswa kulipa kiasi cha mshahara wa mwezi mmoja

Mwajiri akisitisha ,anaweza kukuwekea mshahara wa sawa na mwezi mmoja na akawa amekuachisha kazi kwa masaa 24 au akupe notisi ya mwezi mmoja

Mengineyo hutokana na mkataba mliokubaliana kama kuna malipo ya nauli, kifuta jasho n.k hiyo itafahamika kutokea kwenye nakala za mkataba wenu
Uko sahihi kabisa,ila ukiangalia suala hilo kiumakini Mwajiri anakuwa na jukumu la kisheria ambalo anatakiwa kuhakikisha kuwa anazifuata maana kosa dogo tu anaweza jikuta yupo katika kesi CMA, lakini kitu hiko hiko akifanya mfanyakazi inacukuliwa kawaida sana,japo nafiiri ni kutokana na Mamlaka makubwa aliynayo Mwajiri juu ya mfanyakazi au wafanyakazi.
 
Nachofahamu hakuna kosa kati ya Mwajiri ama mtumishi kusitisha mkataba, notisi inaweza kutolewa kwa pande zote tofauti ni kuwa je kuna malipo au la

Mfano kwa mwajiri ukitoa notisi ya siku 30 kuacha kazi, unafanya kazi ila mshahara huo huwekewi, na ukiacha ndani ya masaa 24 unapaswa kulipa kiasi cha mshahara wa mwezi mmoja

Mwajiri akisitisha ,anaweza kukuwekea mshahara wa sawa na mwezi mmoja na akawa amekuachisha kazi kwa masaa 24 au akupe notisi ya mwezi mmoja

Mengineyo hutokana na mkataba mliokubaliana kama kuna malipo ya nauli, kifuta jasho n.k hiyo itafahamika kutokea kwenye nakala za mkataba wenu
Kwa mfano mkataba umebez upande mmoja yaani Mwajiriwa ndie anaetakiwa kulipa endapo ataamua kuacha kazi na mwajiri hakuna sehemu yoyote ambayo imeandikwa. Mwajiriwa hakuna haki yoyote atakayo lipwa na mkataba haujaonyesha hivyo hebu weka sawa hapo Mwajiriwa haki yake anaipataje?
 
Kwa ufahamu wangu (sio mtaalamu wa masuala ya ajira bali experience tu) mwajiri hapaswi kukuachisha kazi ghafla anapaswa akulipe ikiwa atafanya hivyo

Ila vinginevyo anakupa notisi ya mwezi mmoja kama mbadala wa hiko

Nakama mtu ataenda kinyume na taratibu za kazi ukimuachisha kutokana na mwenendo wake unatakiwa kumlipa?
 
2. Kuwepo kwa Kipengele cha KUTOA NOTISI YA MWEZI MMOJA AU MSHAHARA WA MWEZI MMOJA haikuwekwa kwa ajili ya Mwajiri kuubuse due process of the laws.
Naomba kufahamu kama tayari ameshasimamishwa kazi au bado? kama bado nafikiri ni vyema kusubiri hadi wakati utakapofika maana kupitia barua za kusimamishwa au kuachishwa kazi itaeleza sababu za yeye kuachiwa kazi na Mwajiri,licha ya sababu kutajwa lazima taratibu zifuatwe pia.
Aliishacahishwa zamani
 
Kwa ufahamu wangu (sio mtaalamu wa masuala ya ajira bali experience tu) mwajiri hapaswi kukuachisha kazi ghafla anapaswa akulipe ikiwa atafanya hivyo

Ila vinginevyo anakupa notisi ya mwezi mmoja kama mbadala wa hiko
Kapewa mshahara wa mwezi mmoja badala ya one month notice basi.Lakini mkataba ulikiwa one year fixed.
 
itabidi ufuate taratibu za kuwapunguza kazi(Retrenchment)au uvunje maktaba kwa Makubaliano(early termination),lakini itabidi utoe sababu ya wewe ya kupunguza mfanyakazi/wafanyakazi husika na kuonyesha ulifuata utaratibu wa kisheria
Lakini kutoa notisi ya mwezi mmoja ua mshahara wa mwezi mmoja bila sababu za msingi na pasipo utartibu unaweza jikuta unaangukia kesi ya Breach of contract au unfair termination,Hivyo ni bora kuwa makini katika hilo
Hakuna makunaliano zaidi yakutumia kifu gu Cha mkataba kinachosema either part anaweza kuvunja mkataba kwa kutoaone month notice basi.Sababu walizozitoa kwenye barua ninkwamba kampuni inabadilisha different work streams ambapo nafasi zingine inabdi zipungue na zingine mpya zianze ila hawakueleza streams hizo ni zipi na bahata mbaya watu walikuwa likizo walikuwa unapigiwa simu mmojammjoa kurudi kazini kabla hata ya likizo kuisha na ukifika unakutana na watu watatu wanakwambia kunamabadiliko basi unapewa barua.Ukiwaambia basi tugawane risks ya kupoteza siku zilizobaki kwenye mkataba wanakimbilia kipengele Cha one month notice basi.
 
Yes hiyo inaruhusiwa, akikupa mshahara wa mwezi mmoja inatosha kutimiza vigezo vya kukuachisha kazi
kwa kiasi uko sahihi,kwani ulichoandika ni miongoni mwa vitu muhimu katika Procedural fairness lakini substantive haiko sawa. Kwani sheria za kazi zinahitaji mfanyakzi anapoachishwa kazi na mwajiri basi lazima kuwepo na Substantive and Procedural fairness ndio maana hata assesmess of the Compensations or reiefies inatazamia vitu hivyo
 
Hakuna makunaliano zaidi yakutumia kifu gu Cha mkataba kinachosema either part anaweza kuvunja mkataba kwa kutoaone month notice basi.Sababu walizozitoa kwenye barua ninkwamba kampuni inabadilisha different work streams ambapo nafasi zingine inabdi zipungue na zingine mpya zianze ila hawakueleza streams hizo ni zipi na bahata mbaya watu walikuwa likizo walikuwa unapigiwa simu mmojammjoa kurudi kazini kabla hata ya likizo kuisha na ukifika unakutana na watu watatu wanakwambia kunamabadiliko basi unapewa barua.Ukiwaambia basi tugawane risks ya kupoteza siku zilizobaki kwenye mkataba wanakimbilia kipengele Cha one month notice basi.
Nafikiri ni vyema ukatafuta wakili aweze kupitia Mktaba wako wa Ajira pamoja na Termiation Documents ili kujua kama kuna kesi ya kufungua dhidi ya Mwajiri hapo,japo kwa haraharaka naona alipaswa kufuata taratibu za Kupunguza wafanyakazi(Retrenchment) au kama ingeshindikana alipaswa kusitisha Mkataba wa Ajira kwa Makubaliano(Termination by agreement) au unaweza kukaribia PM kwa msaada zaidi
 
Asante, mbona sioni sehemu ya PM hebu mdau yeyeote anielekeze
 
Hiv mfano,

Nina wafanyakazi 100 wana mkataba wa miezi 20, ila nikaona wamekuwa wengi so nahitaji kupunguza,
Nikawapa hio one month notice wote ninaotaka kuwapunguza, ni kosa ? Let's say napunguza 40 sababu ya financials za kampuni,
Kuna site inaitwa Home - TanzLII hapa utapata case mbalimbali za kuhusu ajira zilivyoamuliwa yani utajifuza mambo mengi sana

turudi sasa kwenye swali
kupunguza wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 marejeo ya 2019 na mwenendo bora wa ajira ya mwaka 2007 ( ELA 2004 R.E 2019 and Code of Good Practice 2007)

Ukitaka kupunguza wafanyakazi sheria inataka ufanye nini

kifungu cha 38(1) muajiri anatakiwa kutoa taarifa ya kuonesha nia ya kutaka kupunguza wafanyakazi
katika kutoa taarifa hapa lazima kifanyike kikao na wafanyazi wote lazima waudhurie na wasaini mahudhurio

(11) lazima upate ushauri na ushirikiano kutoka chama cha wafanyakazi kama mnacho hapo kazini
(111) lazima utoe sababu za kupunguza wafanyakazi na juhudi ulizochukua kuondoa hali hiyo
(1v) mbinu ipi utatumia kupunguza unaweza tumia LIFO au FIFO
NIMEWEKA NA CASE HAPO KAMA TU UTAPENDA KUJISOMEA ICHO NILICHOANDIKA IKIWA MUAJIRI AKIFATA HAYO NILIYOANDIKA ANAKUWA SEHEMU SALAMA NA HUO MFANO WA KESI MUAJIRI ALIFATA TARATIBU ZOTE NA AKASHINDA HATA WAFANYAKAZI WALIPOMPELEKA CMA yani mahakama ya kazi
 
Attachments

  • retrenchment case emplyer won by following procedure.pdf
    466.4 KB · Views: 0
Back
Top Bottom