Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
ndugu zangu wana jamvi nimejaribu kupitia thread mbali mbali zinazohusiana na sheria ya mahari na nikajifunza kuhusiana na mahari lakn wakuu nilikuwa naombeni ushauri juu ya hili. ikiwa mwanamke...
Nchi nyingi duniani zina mifumo mikuu miwili ya urekebishaji wahalifu waliotenda makosa ya jinai. Mfumo wa kwanza ni ule wa kuwahukumu wahalifu kifungo gerezani (Custodial Corrections) na mfumo wa...
Kwanini watendaji wetu wasiwe wabunifu na akili zao zifanye kazi 24 hours?
Hivi kuna umuhimu gani wa wanafunzi wanaotaka kusomea Uwakili katika shule ya sheria, au school of Law wasifungue...
Marafiki zangu wana kesi ya kosa la jinai dhidi ya Jamhuri ktk mahakama ya mkazi Kisutu.
Shtaka lao la kwanza ni kula njama ya kutenda kosa la jinai
Shtaka la pili kufanya mkusanyiko usiokuwa...
Nimeshuhudia Maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata Wakiamuru watu wanao kisiwa kuwa wavunja amani kuwekwa ndani,hata kwa wiki kadhaa kabla ya kufikishwa mahakamani!
Hata Wakuu wa Wilaya na Mikoa...
Mdogo wangu alishitakiwa na mwajiri wake 2007. Kesi iliamuriwa 2012 may 8 kwa MAHAKAMA kumuachilia bw. mdogo kwa kutokuwa na kesi ya kujibu. Bw. Mdgo amemfungulia civil case 7/1/2016 kwa madAi ya...
Ibara ya 6 ya Katiba inasema Lengo Kuu la Serikali ni Litakua ni Ustawi wa Wananchi na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake kutoka kwa wananchi
Je Bomoabomoa instawisha au kudhoofisha...
Salaam kwa Wadau wote!
Nahitaji msaada wenu kwa wataalamu wa Sheria za Ajira!
Mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi kwa mkataba wa KUDUMU( PERMANENT CONTRACT) tangu mwaka 2013, mwaka jana...
Habari zenu wanajamvi ,
Nakuja kwenu kwa heshima nikiomba msaada wenu wa kisheria baada ya kutumika kwenye tangazo la kibiashara kwenye televisheni bila ya kupewa pesa yoyote na pia bila mkataba...
Mtu anagongwa na Gari, anawahishwa Hospital, Madaktari wana kataa kumpokea mpaka apewe form ya Pf3 kutoka police. Mgonjwa anarudishwa Police kupewa form ya PF3. Baada ya kupata form ya PF3...
Leo nliamua nichukue sh 30000 kwenye pochi yangu ili nikanunue mitoko mnadani nkapanda baskeli yangu nikashika njia lkn nlipofika nkashuka nkaanza kuikokota baada ya kupiga kama tambo 50 ndani ya...
Sijui historia vizuri kwa upande wa mahakama!! Lakini hapa jamvini kuna watu tofauti tofauti.
Kuna wale jamaa walio tungua ndege wamepatikana fasta japo walifanya tukio porini sijui kwa vile...
Jaji Mkuu aliteleza ? Wakati wa uzinduzi wa jengo la Mahakama ya mashauri kuhusu unyanyaswaji wa watoto huko Mahonda - Zanzibar jana ulioongozwa na Rais wa Zanzibat Bw Mohamed Shein, Jaji Mkuu...
Ni katika mijadala ya bush lawyers,ni kwamba dhamana ya mali zisizohamishika hurudishwa endapo hukumu imeshatolewa na kama uliambiwa dhamana ni fedha,basi fedha hairudishwi,je hapa pakoje...
Nimeona mara nyingi mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo Karatu kufungua kesi za Jinai pasipo malalamiko au mashtaka kupitia polisi. Je, wadau utaratibu huu ni halali kisheria na katika kesi hizo...
Habari zenu wabobezi wa sheria!
Kuna kaka yangu fulani kwa sasa ni Askari, lakini wakati anaanza chuo alitembea na dada mmoja hivyo aka bahatika kumpatia mimba na sasa ana mtoto wa miaka 5...
jana mtoto wa kike wa Dada yangu ana miaka 14 na bado anasoma alikutwa gheto akifanya mapenzi na Kijana mwenye umri wa miaka 17. kesi IPO police. je sheria inasemaje kwa vijana km Hawa walio na...