Richard Chomile
Member
- Jul 28, 2014
- 68
- 22
Mdogo wangu alishitakiwa na mwajiri wake 2007. Kesi iliamuriwa 2012 may 8 kwa MAHAKAMA kumuachilia bw. mdogo kwa kutokuwa na kesi ya kujibu. Bw. Mdgo amemfungulia civil case 7/1/2016 kwa madAi ya:
1.malicious prosecution
2.Failure to submit PPF contribution to PPF
3.Breach of contract unfairly
4.Failure to pay annual leave
Mwajiri ameweka pingamizi kuwa Msingi wa kesi unaangukia kwenye sheria ya Tort akanukuu kifungu 'The law of limitation act, cap 89 R:E 2002 part I of the first schedule section 6 '
Hii objection ataijibu vipi kisheria? Msaada wenu tafadhali.