Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Nimeshuhudia Maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata Wakiamuru watu wanao kisiwa kuwa wavunja amani kuwekwa ndani,hata kwa wiki kadhaa kabla ya kufikishwa mahakamani!
Hata Wakuu wa Wilaya na Mikoa nao,mfano,pake Makonda alipo amuru Kubenea atiwe ndani!
Na mwisho kabisa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri nao nimesoma sehemu kwenye gazeti kuwa anao uwezo wa kumweka mtu kizuizi,ila halikutaja ni Sheria gani iliyo mpa mamlaka hayo!
Naomba kufundishwa Sheria zinazo wapa mamlaka haya watu hawa!