Tujadili Kisheria Kuhusu Bomoabomoa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Ibara ya 6 ya Katiba inasema Lengo Kuu la Serikali ni Litakua ni Ustawi wa Wananchi na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake kutoka kwa wananchi

Je Bomoabomoa instawisha au kudhoofisha maendeleo ya wananchi?

mwenye legal perspectives tafadhali jameni
 
Mfano wako unaweza kutetea bomoabomoa au kutoitetea, uko so vague.

Mtu anaweza kukwambia bomoabomoa inatetea ustawi wa Wananchi kwa kuwaepusha na majangaa.

Cha muhimu hapa ni kwamba, serikali imekurupuka. Imelala kwa miongo kadhaa, watu wamejenga ovyo, inagaka kumaliza tatizo kwa mkato kwa kuvunja nyumba za watu bila mpango.
 
ni kweli nimeutoa kuchokozea mada tu ................
Mtu anaweza kukwambia bomoabomoa inatetea ustawi wa Wananchi kwa kuwaepusha na majangaa.

Cha muhimu hapa ni kwamba, serikali imekurupuka. Imelala kwa miongo kadhaa, watu wamejenga ovyo, inagaka kumaliza tatizo kwa mkato kwa kuvunja nyumba za watu bila mpango.
 
Samahani mwanzisha uzi naomba nitumie uzi wako japo na mimi niulize swali kwa wataalamu wa sheria kuhusu kesi hii:
Miaka kama minne imepita tangu mzee jirani yetu atoweke katika mazingira ya kutatanisha....huyu mzee alikopa pesa benki mln 50 kwa kutumia kampuni yake ambayo ni LTD...na morgage ya mkopo huoo kaweka nyumba ya familia na kama tujuavyo utaratibu wa nyumba ya family yani matrimonio house shart mama na watoto wapatiwe taharifa juu ya mkopo huo....ila huyo mzee na benki hawakufanya hivyo.
. Yule mzee alifoge sahihi ya mkewe na kutumia nyaraka za mke wake bila tahatifa na ruhusa ya mkewe namanisha alidanganya.....sasa mkopo kapewa na kashindwa rudisha mkopo huo na benk wameamua kuuza nyumba na tayari wametoa siku kumi na nne wanaoishi mule kuhama.....sasa wana sheria hapa tunaweza pata msahada upi ili kuinusuru nyumba na mahangaiko kwa hawa majirani zetu.....natanguliza shukurani.
 
Ustawi wa jamii unaendana pamoja na utii wa sheria ikiwemo kufuata taratibu na kanuni
Kwenye sheria za mipango miji kuna maeneo ya makazi maeneo ya wazi maeneo ya jamii pamoja na huduma za jamii nk nk. Huwezi kwenda kujenga eneo lisiloruhusiwa kwa kisingizio cha Ustawi wa jamii
 
Cha kwanza ni kuweka zuio ili kesi ya msingi isijadilliwe kwanza na kuondoa makando yaliyopo na kupata uhalali wa mali, kwa kuuliza hapa itakua ngumu kukupa majibu yote sababu inabidi kuelewa suala lenyewe kwa undani zaidi hivyo kama una wakili au chombo cha msaada wa sheria karibu yako uende uelezee kinagaubaga
Samahani mwanzisha uzi naomba nitumie uzi wako japo na mimi niulize swali kwa wataalamu wa sheria kuhusu kesi hii:
Miaka kama minne imepita tangu mzee jirani yetu atoweke katika mazingira ya kutatanisha....huyu mzee alikopa pesa benki mln 50 kwa kutumia kampuni yake ambayo ni LTD...na morgage ya mkopo huoo kaweka nyumba ya familia na kama tujuavyo utaratibu wa nyumba ya family yani matrimonio house shart mama na watoto wapatiwe taharifa juu ya mkopo huo....ila huyo mzee na benki hawakufanya hivyo.
. Yule mzee alifoge sahihi ya mkewe na kutumia nyaraka za mke wake bila tahatifa na ruhusa ya mkewe namanisha alidanganya.....sasa mkopo kapewa na kashindwa rudisha mkopo huo na benk wameamua kuuza nyumba na tayari wametoa siku kumi na nne wanaoishi mule kuhama.....sasa wana sheria hapa tunaweza pata msahada upi ili kuinusuru nyumba na mahangaiko kwa hawa majirani zetu.....natanguliza shukurani.
 
Mfano wako unaweza kutetea bomoabomoa au kutoitetea, uko so vague.

Mtu anaweza kukwambia bomoabomoa inatetea ustawi wa Wananchi kwa kuwaepusha na majangaa.

Cha muhimu hapa ni kwamba, serikali imekurupuka. Imelala kwa miongo kadhaa, watu wamejenga ovyo, inagaka kumaliza tatizo kwa mkato kwa kuvunja nyumba za watu bila mpango.
ustawi wa wananchi ni panoja na kuwaondoa mabondeni ila unapowaondoa uhakikishe ustawi wao kule wanakokwenda .....kubomoa kwa staili ile ni kukomoa
 
sijaelewa ..kichwa cha habari kinazungumzia bomoabomoa lakini body inazungumzia kesi ya kuuzwa kwa nyumba na benki.. sasa hata ushaur inakuwa vigumu kutoa
 
amechip kesi yake tu mkuu akihitaji usaidizi wa kisheria ila kichwa na maudhui ya awali yamebaki yale yale
 
Back
Top Bottom