tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Sijui historia vizuri kwa upande wa mahakama!! Lakini hapa jamvini kuna watu tofauti tofauti.
Kuna wale jamaa walio tungua ndege wamepatikana fasta japo walifanya tukio porini sijui kwa vile alitunguliwa ni mzungu !! Sijui!!
Kesi yao hata wiki haijaisha wameishapewa miaka.
Kuna wauji wa albno, Mwangosi.
Kuna waliomuua Mawazo wa CHADEMA peupe tena mchana na sio porini ni kitaa!! Hadi leo hawajapatkana.
Kesi za mauaji inaweza anza kusikilizwa labda miaka mitatu. Kinyume cha hapo upelelezi haujakamilika.
Tanzania tumeanza staili ya ubaguz wa rangi au fedha??