simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,214
ndugu zangu wana jamvi nimejaribu kupitia thread mbali mbali zinazohusiana na sheria ya mahari na nikajifunza kuhusiana na mahari lakn wakuu nilikuwa naombeni ushauri juu ya hili. ikiwa mwanamke kazalishwa na kutolewa mahari na hawajawahi kuishi pamoja je mwanamke ikatokea kumkataa mwanaume kwa jili ya vipigo kila mara kumpelekea ulemavu mahari inarudi na mtoto kamzalisha..wakuu naleta kwenu naamini kuna wataalamu wa sheria humu