Nimeambiwa nimejifukuza kazi, nina haki ya kudai kisheria?

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
609
524
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,

Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.

J3 naenda kazini HR ananiambia hauna kazi umejifukuzisha.

Naomba msaada wa mawazo na kama kuna haki ya kisheria ya kuwadai au wao wananidai naomba kujuzwa
 
Sasa umeondoka Week nzima hujatoa taarifa unatarajia nn sasa?
Au uliomba kibali??
Tanzania bhanna
 
Sasa umeondoka Week nzima hujatoa taarifa unatarajia nn sasa?
Au uliomba kibali??
Tanzania bhanna
sikutoa taarifa mkuu .maana nlipigiwa cm ya gafla niende mkoani kwenye usaili kwamba kuna shortage huko ya form six
naomba kusaidiwa kama nna haki yoyote kujua hapo
 
nimemwambia hr naomba barua
kaniambia toka hapa hakuna barua coz umejifire
 
Kwani mkataba wenu unasemaje kuhusu kipengele hicho kwa mfano mimi kazini kwangu sheria ipo kwamba ukipumzika siku 5 mfululizo bila taarifa utakua umejifukuzisha kaz mwenyewe inawezekana umekiuka
 
na kama nimeji fire je taraatibu zipoje
Unataka taratibu zipi tena wakati umeisha jifire mwenyewe? Kutokwenda kazini kwa siku Zaidi ya Saba Na bila taarifa, unakuwa umejifukuzisha kazi.

Tiba
 
Kama hukuomba ruhusa, mwajiri wako anahaki ya kukufukuza

Pia ni vyema ukipitia policy ya shirika lako na uelewe inasemaje juu ya haki na wajibu WA mwajiriwa
 
Usipokua kazin sku5 bila taarifa muajiliwa ana haki kukufukuza,fatilia tu mafao yako .
 
Back
Top Bottom