Msaada wa kesi ya madai

James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
106
Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili . Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa izo fedha akibidi akimbie kama kwa mwezi mmoja ivi sasa yule aliemuwekea dhamana akakamatwa na akalipia lile deni la million 2 sasa uyu ndugu ikabidi atafutr hela za kumlipa uyo mwenzie bado kapambana lakini ameshindwa kulipa ilo deni sasa leo wamemkata tena polisi ili alipe deni ilo na pesa hana ya kuweza kulipa ilo deni la mkopuo sasa naomba ushauri ni jinsi gani naweza kumsadia kisheria ili aweze kupata unafuu.? Nawasilisha kwenu wadau
 
Back
Top Bottom