Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za asubuhi wakubwa,
Nimekua nikiskia wafanyakazi wengi walilalamika kusimamishwa kazi na hata wengine kufukuzwa au kukatishwa mikataba yao pasipo kuisha Kwa mda wake na bila kufuata...
Ndugu wana body,habari za sahizi,na poleni kwa majukumu.nina issue nataka kijua sheria hapa ikoje!je unaweza kustaki kampuni?mfano umeomba kazi katika kampuni x,miaka kazaa ilio pita,ukakosa.ila...
Introduction
The National Tax and Investment Dialogue, scheduled to commence on 15th April 2025, presents a strategic opportunity for Tanzania to re-engineer its tax system, reinforce investor...
wanafamilia moja wamekuja kwangu wanataka wagawane mali walizochuma ndipo nikaomba kujua historian yao hadi kufikia hapo, ipo ivi.
Ilikuwa 2018 mahusiano yao yalianza na wakati huo mwanaume...
Waungwana na wajuvi habari zenu:
Naomba kufahamishwa nijue;
Je; DPP anaweza kufuta/ au kuondoa kesi hata pale baada ya mashahidi wake wote kutoa ushadi na ikathibitika kuna kesi ya kujibu...
Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo.
Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza...
c&p
SEDITION
What do you understand by sedition? Critically comment on the way the courts have interpreted the Section 124(A) of the penal code. (India)
Sedition is about when a person's...
Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru
Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa...
Habari zenu Wana jamvi,naomba msaada wa kisheria kuhusu kubadili jina nililosomea kwenda jina langu halisi.
Ipo hivi nilipoanza kidato Cha kwanza nilitumia jina la mtu ambaye aliacha shule so...
Wakuu Habari,
Nauliza kama kuna uwezekano wa kuingia makubaliano ya kisheria(kiapo) na mmiliki wa shamba ili asije ingia tamaa baada ya kuona cha juu
Kinachopatikana baada ya biashara kufanyika na...
Iko hivi.. kuna kiwanja nimenunua muuzaji kanionesha ramani ambayo imechorwa na surveyor wake ..madai yake kasema alienda ofisi za ardhi kujua eneo analotaka Kuuza ni kwaajil ya makazi au...
Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa...
So i am 25 right ? I have been using the same name in most of my Certificates, but for the last 10 years I found out I am a bastard son and my Father Claims to not have had a bastard son, So I am...
Introduction
The judiciary of Tanzania stands as the last hope for justice. From the Primary Courts to the apex Court of Appeal, it is structured not only by law but by trust, trust placed by the...
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula...
Iko hivi...
Mimi ni mmoja wa wanahisa wa kampuni fulani mkoani Arusha.Katika harakati za kutaka kuongeza mtaji,wazo la kwenda taasisi za fedha kukopa likaibuka.Moja ya mahitaji ya hiyo taasisi...
Poleni na majukumu ndugu zangu Wanafamilia ya JamiiForums!
Nimerudi Tena kuleta mrejesho na kuomba kuendelea kuongezewa uwezo kwani naamini kuwa humu mpo baba zangu, mama zangu na wengine wengi...
Habari.
Naomba kufahamu ni nini huyu mwanamama/dada alichokitenda huko nchi za watu mpaka kufikia maamuzi ya kunyongwa
Licha ya kuwa mkuu wa nchi kuomba petition ya kuzuia tatizo hilo bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.