Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Introduction In a functioning tax administration governed by the rule of law, fairness must be the cornerstone of every process. In our country, the Tanzania Revenue Authority (TRA) is mandated to...
2 Reactions
0 Replies
774 Views
Dear Esteemed Members of the Legal Forum, I am reaching out to seek legal insights and public advocacy regarding an incident that raises concerns about privacy rights, data security, and due...
1 Reactions
0 Replies
252 Views
Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
1 Reactions
14 Replies
758 Views
Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Introduction Throughout history, taxation has often been a contentious subject. From ancient empires to modern governments, tax collectors have been perceived with skepticism, sometimes even...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Samahani sana. Mwenye kitabu cha UHURU WA MAHAKAMA kilichoandikwa na Jaji mstaafu Samatta naomba anisaidie.
1 Reactions
3 Replies
502 Views
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&opi=89978449&url=https://www.youtube.com/watch%3Fv%3DL49A-TmnHBI&ved=2ahUKEwi0o8jax_-MAxWYh_0HHca4JGUQtwJ6BAgLEAI&usg=AOvVaw32OgAVKAxEaPDCD3_Dc1Xb
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Embu wakuu tuiendeshe kesi hapa kivyetu, naamini kuna wapenzi wa sheria majambazi yaani tupo hata sisi tunaopenda kuhudhuria mahakamani kusomea ubishi na hoja. Hakimu anza kutusomea kosa au...
0 Reactions
4 Replies
349 Views
Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load...
0 Reactions
16 Replies
924 Views
Karibu katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wakuu, issue yangu ipo hivi Mwaka jana mwishoni (December 2024) nliingia makubaliano na kampuni moja kwa ajili ya kununua bidhaa ambayo kwa madai yao wanaagiza kutoka nje ya...
1 Reactions
3 Replies
805 Views
Sio kweli kama Waziri Simbachewene alivyosema kuwa asiye na cheti cha ndoa hawezi kufumania. Yeyote mwenye ndoa halali anaweza kufumania. Na ndoa halali imetajwa Kifungu cha 9 cha Sheria ya Ndoa...
5 Reactions
4 Replies
3K Views
Anonymous
Habari zenu wanaJamiiForums. Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Nilikuwa naomba msaada wenu wanasheria wa humu ndani. Kuna sehemu nilinunua shamba la hekari 2 kutoka familia fulani...
0 Reactions
13 Replies
894 Views
Niliondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii. Tukaandikishana nikaondoka...
1 Reactions
4 Replies
696 Views
Nimepitia nyuzi kadhaa za kisheria juu ya maswala ya ndoa katika jukwaa hili, nimeona maswala mengi yamejadiliwa na kufafanuliwa na wataalamu wetu ndani jumba hili. ahasanteni, binafsi kuna...
0 Reactions
3 Replies
633 Views
"Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Introduction The integrity and effectiveness of Tanzania’s tax administration system depend heavily on the consistent and faithful application of tax laws. In recent years, however, several...
2 Reactions
1 Replies
995 Views
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Habari zenu waungwana. Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini. Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Introduction Since 2000, Tanzania has undertaken significant reforms to strengthen its governance and public administration frameworks. The tax sector was no exception. The enactment of the Tax...
1 Reactions
0 Replies
635 Views
Back
Top Bottom