Msaada wa Kisheria: Makubaliano kabla ya kuuza Shamba

Msaada wa Kisheria: Makubaliano kabla ya kuuza Shamba

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
635
Reaction score
1,144
Wakuu Habari,
Nauliza kama kuna uwezekano wa kuingia makubaliano ya kisheria(kiapo) na mmiliki wa shamba ili asije ingia tamaa baada ya kuona cha juu
Kinachopatikana baada ya biashara kufanyika na mteja kupunguza uwezekano wa kurushana
Asante
 
Kama mmeshauziana properly, na nyaraka unazo na Mali ushakabidhiwa atakugeuka vipi tena mdau? Au mmepeana Mali kauli?
 
Kama mmeshauziana properly, na nyaraka unazo na Mali ushakabidhiwa atakugeuka vipi tena mdau? Au mmepeana Mali kauli?
kwa nilivyomuelewa huyu atakuwa ni dalali atakuwa alikubaliana na mwenye shamba kutafuta mteja tuseme milion 70 lakini bwana dalali kaleta mteja wa milioni 100..kwahiyo anataka afunge makubliano na mwenye shamba iwe ile milion 70 waliyokubaliana tu wakati wa kutafuta mnunuzi so anataka ile milioni 30 iliyozidi mwenye shama asiwe na tamaa nayo badala yake achukue yeye dalali.!
 
Back
Top Bottom