Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji 1)Nyama ya mbuzi 1 kg 2)Pilipili mbuzi 2 3)Pilipili manga 1/2 teaspoon 4)Bizari ya pilau (cumin) 1 tablespoon iliyotwagwa 5)Mafuta ya kupikia 1 tablespoon 6)Chumvi kiasi 7)Tangawizi na...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wana jamii. Nilikua naomba kwa wale wenye utaalam wa kuandaa cocktail yenye kilevi,msaada vinywaji vya kutumia na hatua za kuandaa. Shukran
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Wataalam wa jukwaa hili hebu kila mtu amwage utaalamu wa kutengeneza sekela chicken humu.....tupate mlo saafi.... chicken "SEKELA", sina uhakika hili jina sekela lina asili ya wapi katika...
0 Reactions
33 Replies
23K Views
Jamari kuna mdau anayejua samaki wa Ziwa Nyasa kama Mbasa, mbelele wanpatikana wapi Dar.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana jf. Tusaidiane jinsi ya kutoa harufu ya kitunguu mikononi baada ya kupika maana inakera sana
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mahitaji 1)Unga vikombe 4 vikubwa 2)Hamira 1 tablespoon 3)Asali 3 tablespoon 4)Maji ya uvuguvugu (warm) kikombe 1 kikubwa 5)Mtindi (yogurt) kikombe 1 kikubwa 6)Mafuta ya kupikia 1 tablespoon...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa recipe ya kupika kalmati
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Salama ? tunaomba kufahamu MICROWAVE Iliyo bora kwa wale walio na uzoefu wa muda mrefu tafadhali, , , tulikuwa tunatumia moja aina ya SUMSANG imetusumbua sana kwa muda mfupi hata...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu... Leo nimepata wzo:lets share tricks za jikoni,hope kila mtu ana za kwako.... Ntaanza mimi lol.... #1 ) jinsi ya kutumia mdalasini (cinamon) kuondoa harufu mbaya jikoni.....mfano...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari wandugu, mwenye recipe ya kaimati au gulab jamun naomba atumwagie uwanjani.....unajua mchele mmoja mapishi elfu moja..mambo ya jioni haya na gahawa!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalam alykum all members of jf chef. Naomba kufundishwa juu ya matayarisho ya ile nyama tunaoweka katikati ya burger. Kwa upande wa ule mkate sina tatizo, ila kama ntapata recipe yake pia sio...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Jamani my X-mas is boring coz siko na familia; naombeni muifanye exciting kwa kunitupiemo recipes mpya mpya na tamu tamu ili nijipikirishe. Asanteni in advance cc: farkhina, mimi49, amu...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wananchi wa Zambia ambayo ni maarufu kwa uchimbaji madini ya shaba barani Afrika, wamejivumbulia biashara ya viwavi jeshi, inayowaingizia kipato kikubwa, na kuwa na soko kubwa kwa nchi za kusini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Viamba vya upishi Maharage meupe mabichi Nyanya moja kubwa Soseji 4 za nyama Mafuta ya alizeti kijiko 1 cha mezani Chumvi kiasi Pilipili hoho 1 Majani ya basil Yai moja Unga wa pilipili kali...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Get a free ebook exclusively dedicated for that subject. The book title is “Top Chef Tips and Cooking Information” Each week there is a free ebook to be downloaded which has been voted by...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina packets of cooking chocolate nashindwa kubuni pishi la kuitumia, tafahali mwenye mapishi mazuri aniandikie. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahitaji Mchele kg 1 Shrimp Kitunguu maji 2. .kata chembamba Thomu 1teaspoon Tangawizi 1teaspoon Mixed vegetablea Mayai 2-3 Bizari ya pilau 1teaspoon.. Mafuta ya kupikia Chumvi kiasi Namna ya...
9 Reactions
69 Replies
11K Views
Mahitaji 1) Nyama ya kusaga 1/2 kg 2) Kitunguu thomu 1 teaspoon 3) Tangawizi 1 teaspoon. 4) Bizari ya pilau 1 teaspoon 5) Curry powder 1 teaspoon 6) Pilipili manga..1 teaspoon 7) Chumvi kiasi 8)...
9 Reactions
21 Replies
12K Views
nyanya zitaandaliwa kutegemea na idadi ya watu.. matayarisho: andaa nyanya zilizoiva kwa kuziosha vyema kisha zimenye halafu weka kwenye blenda au unaweza kutumia kinu kidogo kuponda ponda na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miaka kama sabna iliyopita nilikuwa kwenye mizunguko city center mara kufika mtaa wa Lumumba CRDB kuna mtaa wenye ofisi za TRA hapo kulikuwa na kimgahawa cha watu wenye asili ya kiarabu...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom