Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji 1)Unga kikombe 1 2)1/2 kikombe cha yogurt na maji kidogo waweza tumia tui la nazi pia. 3)siagi ama samli 1tablespoon 4)1 teaspoon ya hamira Shira (sugar syrup) 1)Sukari kikombe 1 2)maji...
7 Reactions
37 Replies
21K Views
Naomba mnielekeze namna nzuri ya kuhifadhi ndizi mbichi za kupika ili ziweze kukaa muda mrefu bila kuiva.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaribu mapishi haya ya cut-lessi :- Viazi vyakuponda na nyama ya kima.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jamii, Hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha biashara ya chakula ila nina shida ya mwalimu wa mapishi, sana sanaa ni utengenezaji wa SALAD za aina mbalimbali,naomba msaada...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Naamini kila mtu anajua kuchemsha kuku na kukaanga,ni pishi la kawaida sana. Ingawa pishi hili ni rahisi,watu wengi wanalikosea sana,na matokeo ya pishi lao hayawi...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
PIA NITAKUPATIA RECIPE SAFI KABISA YA KITAFUNWA HIKI CHA KARANGA NA CHOCOLATE RECIPE SAFI KABISA YA KITAFUNWA HIKI CHA KARANGA NA CHOCOLATE MAHITAJI 360 gram peanut butter 1 kg high...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Mahitaji 1.Njegere 2.Carrot 3.Viazi 4.Mayonnaise chemsha njegere zako..bt make sure zisiwe laini i mean ziive enough kwa kula,fanya hvyo kwa viazi na carrot pia..viazi na carrot vinapendeza...
3 Reactions
17 Replies
10K Views
Wanaukumbi. Tambi za mayai ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kuandaa pale ninapokua ninaharaka au sina muda mrefu wakukaa jikoni.pishi hili huchukuca muda mfupi sana nanimlo...
10 Reactions
27 Replies
12K Views
Wanaukumbi. JIFUNZE KUPIKA CHAKULA HIKI KITAMUA NA RAHISI SANA KWA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI, NYAMA YA MBUZI NA VIAZI ULAYA KWA MTINDO HUU WA MAPISHI UNAWEZA PIKA NYAMA YA KUKU, SAMAKI...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Wanaukumbi. Makaroni nichakula jamii ya Tambi,ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kupika siku za jumapili ninapokwepa kukaa jikoni kwa muda mrefu. makaroni ya nyanya na nazi Mahitaji...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
ukiangalia picha vizuri vimechemshwa turn na havina viungo vingi, vyakula vya Vasili kama hivi ni vizuri kwa afya ya mwili na akili na ndio maana wazee with waliweza kuishi miaka mingi bila...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
SAMAKI HUYU NI MTAMU SANA IKIWA UTAPATIA JINSI YA KUMPIKA NA MAPISHI HAYA HAYA UNAWEZA TUMIA PRAWNS WA AINA ZOTE, LOBSTA, CHAZA NA UDUVI IWE NI KUTENGENEZA MCHUZI SAFI AU KUTENGENEZA SUPU HATUA ZA...
6 Reactions
28 Replies
23K Views
Wanaukumbi. Imezoeleka kua nyama huwekewa chumvi na si sukari au asali.Hapa jikoni leo Nyama italiwa na chovyo la asali.Ni chakula ambacho kila mtu hapa jikoni anakipenda.Naamini Utakipenda...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
plz fanya hivyo mpnz
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Jinsi ya kumatayarisha kuku Mgawe kuku kwenye kifua,Mgeuze ili mgongo uwe juu na mchanechane kwenye mapaja na kifua,dhumuni la kufanya hivo ni ili viungo vikolee vizuri. Kama unavyoona...
9 Reactions
35 Replies
17K Views
These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya...
14 Reactions
44 Replies
5K Views
Jamani msaada wa namna ya kupika biringanyi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahitaji Kwa ajili ya chicken jalfrezi Kuku 1 mkate vipande vipande Curry powder 1 teaspoon Uzile wa unga (bizari ya pilau) 1 teaspoon Bizari ya manjano 1/2 Plain yogurt (sio...
12 Reactions
34 Replies
7K Views
Jamani nipeni tips za kuupika mhogo upikike utest nicely nienjoy nawapendwa wangu.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
habari wanajfchef, leo nmeandaa ftari ya vipopoo. skuwa na maziwa, hivyo nmepika kwa nazi, kwa vile tumefunga wameonja watoto, tusubiri jioni vtakua mkekani inshaallah. Karibuni saana, ramadhan njema.
1 Reactions
30 Replies
10K Views
Back
Top Bottom