Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Kuku 1 Tangawizi Kitunguu thomu 1 teaspoon Orange juice 2 glasses waweza kamua fresh orange au orange juice ambayo 100% alafu no sugar added Chumvi kiasi Chungwa moja kwa ajili...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Type 1 Mahitaji Majani ya salad Samaki asie na miba wa kuchemsha bila ya viungo weka chumvi (unaweza tumia samaki wa kikopo) Nyanya 1 kubwa Kitunguu maji kidogo sana 1 Pilipili...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Wana jiko!! Ni mda sasa nimekua nikienjoy mapishi ya chef wetu farkhina. Naomba nami niwaekeeni kaujuzi hapa wa kutengeneza mkate simple wa ufuta!! Mahitaji; Unga vikombe 2 Maziwa kikombe 1na...
5 Reactions
52 Replies
11K Views
Nimejipiga mwenyewe nikanunua azam unga,maziwa,samli,mayai. Nikachemsha samli iyeyuke nikachanganya unga,yai moja,chumvi kidogo,na sukari kiduchu kwa ladha maji yakawa maziwa nikakanda weee mpaka...
1 Reactions
21 Replies
14K Views
unachukua fish fillets au meat fillets unazikaanga na mafuta kidogo na vinegar kwa mbali kisha unapasulia yai lisilovurugwa juu yake unaacha kwenye moto kama dak 5 kisha unaopoa! unakuwa na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapendwa leo niliandaa maandazi matamu balaa haya nlitumia hivi vipimo....jaribu na wewe uje uniambie kama hutashibia jikoni Mahitaji Unga kg 1 Sukari robo ila usijae Samli 5...
12 Reactions
92 Replies
40K Views
niupikaje huo uji jamani, msaada wa hatua na vinavyohitajika. asante
0 Reactions
19 Replies
35K Views
Taasisi ya kimataifa ya uwiano wa uzito na lishe ya Slimming World yenye makao yake makuu nchini Uingereza, imefanya uchunguzi kuhusu watu wanaokunywa pombe na kubaini kuwa inawaongezea kasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahitaji Unga nusu kilo Plain yogurt 4 tablespoon Sugar 1 teaspoon Chumvi 1/2 teaspoon Hamira 1 teaspoon Baking powder 1/2 teaspoon Warm water/warm milk Siagi kwa ajili ya...
11 Reactions
51 Replies
10K Views
Mahitaji Unga wa dengu 1 cup Kitunguu maji 1/4...kata ndongo ndogo Pilipili kijiko 1 cha chai.. Hamira 1 tea spoon.au baking powder Pilipili mboga 1/4...kata ndogo ndogo Chumvi kiasi Curry powder...
13 Reactions
59 Replies
17K Views
Wanajamvini nimekubali jamiiforum ni home of great thinkers.baada kupata hofu kali juu ya dengue na kuchoka kufungua mageti kwa mchina sasa nimefikiria kuanza kupika na kuuza maandazi na skonsi...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Nina oven ya mkaa kama ile ya TATEDO ninataka kuitumia kibiashara kupikia skonzi, Je ni nani anaweza kunisaidia recipe (jinsi ya kupika) hizo skonzi?
2 Reactions
4 Replies
41K Views
Mi napenda sana! 1.Ndizi nyama 2.Ugali na nyama choma.
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Naombe mnielekeze jinsi ya kumtengeneza pls kukaanga au kulost au aina yoyote.mate yanatoka
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapishi wenzangu za Jumapili? Just to share with u this, nimekuwa nikiitumia kujifunza mapishi mapya, kama ilishawahi kuwekwa hapa jikon basi si vibaya tukajikumbusha: pitia hapa ujifunze pishi...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Mahitaji 1)Mchele vikombe 4 2)Nyama yenye mifupa 1 kg 3)Karoti kubwa 3...kata nyemba na refu 4)Uzile (bizari ya pilau) 1 teaspoon 5)Hiliki 1 teaspoon 6)Tangawizi 1 teaspoon 7)Kitunguu saumu 1...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Mahitaji Nyama ya kusaga nusu Kitunguu maji 1 Kitunguu saumu 2 teaspoon Tangawizi 1 teaspoon Kotmir (giligilani) 1 teaspoon Bizar ya pilau 1/2 teaspoon Mdalasini 1/2 teaspoon Bread...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Hello! Naomba anisaidie mdau mtaalamu wa upambaji wa cake,nina iceing sugar natakiwa niichanganye na nini na nini ili niweze kuichora juu ya cake yangu kwa maana ya kuipamba.Plz help me!
1 Reactions
8 Replies
45K Views
Wadau wa hii forum tumekuwa wachoyo na wabinafsi kwa kujifikiria sisi wenyewe watu wazima na kusahau kabisa wana wetu ambao ni taifa na nguvu kazi ya kesho wengi wetu tuna watoto ambao tunawaacha...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom