Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji- Samaki jodari/ nguru vipande 6-8 Mayai 12 Chumvi to taste Pilipili manga kijiko cha chai 1 ndimu 2-3 Pilipili mbuzi 1-2 Pilipili boga 1-2(kata ndogondogo sana) Kitunguu swaumu kijiko...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Mboga za majani huchangia sehem ndogo sana ya mlo wa watanzania wengi.Naamini moja kati ya mambo yanayofanya watu wengi hawapendi mboga za majani nipamoja na upishi mbaya wa mboga. Majani ya...
1 Reactions
15 Replies
22K Views
Wasalaa wana Mapishi. Mimi ni mmoja wa viumbe ambao hawapendi mafuta na chakuLa kinacho zidi mafuta huwa sili. Lakini nimekuwa nikijiuliza chakula kitamu au kizuri ni kile kilicho ng'arishwa na...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
habari; Nahitaji matunda ya straeberry na sijui yanapatikana wapi, mim npo Dar!! Msaada tafadhali..
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nyepesi zinasema maziwa ya mbuzi ni dawa. Mwenye taarifa sahihi alete elimu. Ahsante
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji kujua upikaji wa aina hii ya nyama kwani kwangu mi ni mashikoro mageni ....hapa ninapofanyia shughuli zangu Kuna duka wanauza hii kitu huwa natamani ninunue ila naogopa inaweza...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Za jioni wapendwa! Pishi la leo km jina linavyojieleza...samahani kwa wasiotumia sukari.. 1) Katika suria ndogo kiasi weka sukari 5-6 tbsp. Yayusha kwenye moto mdogo mdogo huku ukiizungusha...
6 Reactions
22 Replies
8K Views
Kuna raw foods "movement" duniani, yaani jamaa wanaokula vyakula visivyopikwa. Kuna mwenye experience hiyo humu jf atielezee faida zake?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nna hamu ya viazi vitamu balaa, ila hunisababishia kiungulia hatari. Sasa natafuta njia ya kuvi-pimp kupunguza kiungulia. Je, naweza kufanya 'mashed potato'? Sijawahi jaribu viazi vitamu...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Onion Soup Diana Herrington | February 20, 2012 | 1 Comment This is a very simple soup to make. Ingredients: 1 yellow...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Watermelon Soup Diana Herrington | July 15, 2012 | 0 Comments Ingredients 4 cups cubed seeded watermelon 2 tablespoons...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali kwa yeyote anayejua atusaidie namna ya kuwatengeneza hy kuku naona wife anahangaika kutafuta. formula.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mahitaji ya mseto Mchele vikombe viwili Choroko vikombe vitatu Tui bubu kikombe kimoja Jinsi ya kutayarisha Chemsha choroko mpaka ziive,punguza kiasi weka kando.Weka mchele ulooshwa kwenye...
8 Reactions
27 Replies
11K Views
Tazama video hiyo kisha toa maoni.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda sana hii kitu nikila najiuliza hivi wanatengenezaje?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
kama huja jaribu jaribu leo na huu ndi msimu wenyewe!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Soseji ni kitafunwa kinachopendwa sana,na hutumika sana kama sehem ya kifungua kinywa.Ni namna nyingine ya kuhakikisha unapata protini kwenye kifungua kinywa. Hata ivyo soseji huweza kutumika...
1 Reactions
7 Replies
16K Views
hii ni namna ya kutengeneza CURRY nyumbani kwako. KARIBU Korma paste 2 cloves of garlic / a thumb-sized piece of fresh root ginger / ½ teaspoon cayenne pepper / 1 teaspoon garam masala / ½...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Pishi la Pweza Vipimo Pweza 1 Kilo Mafuta ½ kikombe Chumvi...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa za J1.. Kuna recipe hii ningependa kushare nanyi.. Unga mug 1 na robo Mtindi plain mug moja Sukari vijiko 7 Mayai 2 Samli aseel vijiko 4(unaweza tumia mafuta 1/2 mug) Vanilla 1-2 tbs...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Back
Top Bottom