Leo hebu kila mtu a share unachanganyaje matunda? au wala moja moja
Mie leo nimechanganya strawberries,papai,zabibu na apple vyote ratio sawa then naweka yogurt juu nakula
Pishi hili ni maalum kabisa kwa wale ambao ni wageni jikoni au hawajui kupika.Niliomba nipewe pishi la futari ambalo hata asiejua kupika anaweza jaribu na akapatia,nikapewa pishi hili.
Mahitaji...
Mayai 6
Maziwa sona kikopo 1
custard kijiko 1
maziwa ya unga vijiko 5
maziwa ya maji vikombe 2 na nusu vanila kijiko 1
mimina vyote kwenye blender saga.
Kwenye sufuria safi ndogo kiasi unguza...
JIFUNZE KUPIKA WALI WA SAUSAGE NA MBOGA MAJANI MCHANGANYIKO
JIFUNZE KUPIKA MBOGA MAJANI NA MCHANGAKO WA WALI NA SAUSAGE
MAHITAJI
3 vipande vya sausage
1 fungu la majani ya...
Naamini kila mtu anajua kuchemsha kuku na kukaanga, ni pishi la kawaida sana.
Ingawa pishi hili ni rahisi, watu wengi wanalikosea sana,na matokeo ya pishi lao hayawi mazuri.Unaposoma pishi hili na...
Hello Mods
I think you will agree with me kwamba hamna kitu muhimu hapa duniani kama Kula (apart from Praying and Believing in your Religions)
Watu wa dini na makabila tofauti wanaweza...
Weka futari(chakula) upendacho kula na unahitaji kupika ila tu hukijui/umesahau namna ya kupika tutakumbushana biidhnillah en shaAllah......
Mrs Kharusy Angel Nylon rasai Ennie gorgeousmimi na...
Mahitaji
Unga wa ngano vikombe 2
Sukari nusu na robo kikombe
Mafuta ya kupikia nusu kikombe
Yogourt vijiko 3 vya kulia
Baking powder kijiko 1 cha chai
Mayai 3
Namna ya kutengeneza
1)changanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.