Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Ndugu, nimewaza mpaka kichwa kinauma sijui nipike Chakula gani mchana Nile. Naombeni msaada, shauri chochote bila kujali kitapatikanaje Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
30 Replies
10K Views
Nimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa. Kisha nikayaweka kwenye friji yakapata baridii kiasi yale maziwa. Alafu nikizima friji langu na maziwa yapo mule...
5 Reactions
50 Replies
10K Views
Naamini wanajukwaa mko wazima. Naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza wine ya ndizi kwa wataalamu wanaofahamu. Shukran
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu habari za jumapili. Naomba kuuliza. Juzi ijumaa nilikua mjini kati Dar es salaam, nikakutana na jamaa yangu mmoja mwenye asili ya kiarabu niliesoma nae elimu ya sekondari ya juu ambae...
4 Reactions
23 Replies
21K Views
Mapishi ni ufundi unaokua kila kukicha ila wengi wetu tunachemsha hasa kwenye swala la kufanya msosi uwe na ladha murua na kapendeza... Ningependa hasa nijue hivi viungo vinatumika kwenye vyakula...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari za kazi wanajukwaa,naomba mtu yeyote mwenye utaalamu wa kuandaa nundu kwa ajili ya msosi kwa pishi lolote lile anisaidie.
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari za saizi wapendwa.. Naombeni mnielekeze jinsi ya kupika ubuyu wa rangi.. Asanteni
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda sana kumtazama huyu jamaa siku hizi Chef Fred Uisso. Jamaa anapika vyakula mbalimbali vya makabila Tanzania,kupitia yeye najifunza kuacha mapishi ya kuiga iga na ya mazoea. Jamaa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya naombeni msaada mwenye utaalamu wa kuhifadhi njegere muda mrefu kama mwezi au wiki mbili bila kutumia fridge anipe maujanja maana fridge uchumi haurusu kwa sasa nimechoka...
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Jamani ubachela unanisumbua naombeni msaada jins ya kupika kabej plz Nahitaji kujua hatua zake zile mwanzo mwisho plz ladies help me
2 Reactions
19 Replies
20K Views
Habari wakuu, Wakuu naomba ushauri wa vitabu vya kusoma kuhusu African wildlife. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
786 Views
Mahitaji ya kutengeneza Chai Masala 100gram hiliki/cardamoms 50gram mdalasini/ cinnamon 2 tsp pilpili manga/whole black pepper ( 1 tsp mnanaa/ dried mint (optional) 1tsp karafuu/whole cloves...
3 Reactions
8 Replies
12K Views
This could be helpful, know more about your computer. Ctrl+A - Select All Ctrl+B - Bold Ctrl+C - Copy Ctrl+D - Fill Down Ctrl+F - Find Ctrl+G - Goto Ctrl+H - Replace Ctrl+I - Italic Ctrl+K -...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wapishi habari zenu Nilikuwa nauliza hivi frying pan za chapati zile zenye mishikio ya plastiki ngumu za dukani zipi imara hazishiki kutu halafu hivi haya makangio ya chapati...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Ni vyuo ganii ambavyoo vinatoaa mafunzo kama ya vetaa????
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Mti mbenge ni mti ambao unamahusiano zaidi na maji na unapoota au kupandwa eneo hlo lazima patokee chemchemu ndogo ambayo watu wataweza kuchimba kisima na kujipatia maji. Labda naomba kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu katika jiko na mapishi, na leo tutajifunza kupika pilau la nyama ya ng`ombe. VIPIMO, Mchele 2kg Nyama ya ng`ombe 1k Pilpilihoho 1kubwa Nyanya 3kubwa Vitungu maji 2vikubwa Thomu...
3 Reactions
19 Replies
20K Views
Jamani naomba msaada wa namna ya kupika pilau la kuku kesho, la watu kuanzia watano
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya jamani leo ni siku nyingine ambayo ninataka tupike mkate kwaajili ya familia. Mkate ni chakula ambacho huliwa wakati wa kufungua kinywa.hupikwa kwa kutumia unga wa ngano ama wa muhogo lakin...
16 Reactions
435 Replies
185K Views
Habari za wakati huu wana jamvi lengo la kuweka uzi ni kufundishana hatua kwa hatua namna ya kutengeneza ice cream za ubuyu kwa yoyote yule anayefahamu tafadhali tupeame uzoefu. Mahitaji muhimu...
0 Reactions
4 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…