Ili Mayai ya kuchemsha yawe na radha nzuri nichanganye nini na nini?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Heshima kwenu wakuu,
IMG_20180507_192224.jpg

Mimi huwa napenda sana mayai ya kuchemsha, ila sijajua wakati wa kuchemsha unachanganya viungo gani.

Nategemea kupata mgeni, mgeni wangu anapenda mayai ya kuchemsha na nataka nimsurprise sana..

Tatizo nikichemsha nikaweka maji mengi yanapasuka na kutuna.. Sipendi, nikiweka maji kidogo saa nyingine yanaungua au hayaivi.

Sasa naombeni maujanja yenu. Nataka mayai kuchemsha yawe na radha ya biriani au Pilau.. Yaani nataka yawe mapishi advance ambayo hajayapata kuyaona popote.

Nichemsheje mayai?

Asante kwa kujali..
 
Ila figganigga wewe haya uliyachoma au ulichemsha.
Kama unapata tabu kuchemsha mayai,uwe unayachemsha kwa mtindo wa kuyatumbukiza kwenye sufuria unayopikia chakula kingine,mfano ukiwa unapika wali unayatumbukiza kwenye sufuria ya wali,maji yakishaanza kukaukia unatoa mayai yako unaacha wali uendelee kuiva.Hapo lazima mayai yatatoka vizuri tu
 
Heshima kwenu wakuu,
View attachment 769390

Shida yake ni kujamba bila ya mpangilio na ushuzi kunuka kuliko kawaida!
 
Ukitaka mayai ya kuchemsha yanoge, yachemshe usiku alafu uyale kesho yake. Au yachemshe asubuhi alafu uyale jioni. Ukiyachemsha na kuyala hapo hapo kabla 'hayajachacha' kidogo huwa hayanogi!
 
Tia maji ktk suria maji yafunike mayai yote. Unaacha kwa muda had maji yachemke vzuri.
Ukitaka kula tumia chumvi ya unga na pilipili manga ya kusaga unachanganya halafu unaeka ktk kisahani unatofelea na mayai.
 
Aahahahahahahahaaaa looh wee bwana umeamua kunichekesha jioni hii.

Kwanza unatumia jiko gani kuchemshia?
La mchina, gesi, mkaa, kuni, umeme au moto poa?

Kuhusu kuleta ladha labda baada ya kuyachemsha na kuyamenya maganda, utengeneze salad au kachumbari ya mayai. Hapa mayai unayakatakata vipande 4 hadi 6 kwa yai na unaweka mboga mboga utakazo kama mahindi ya njano machanga yaliyochemshwa, karoti hoho baby tomato kitunguu parachichi kisha umwagie vinegar kiasi au ndimu au salad topping au hata mayonnaise. Ukipanda waweza weka pilipili mange au ya kukata kata.

Laah waweza pika rosti la mchuzi halafu hayo mayai ukayaweka mazima mazima hapo inakuwa kama mboga.

Laah unaweza yaweza kwenye macaroni na nyama ya kusaga. Huo ni mlo kamili.

Kila la kheri kwenye mapishi, ila pia kuna kifaa maalum cha umeme cha kuchemshia mayai yakiiva kinajizima kama rice cooker vile hayaungui.
 
Ila figganigga wewe haya uliyachoma au ulichemsha.
Kama unapata tabu kuchemsha mayai,uwe unayachemsha kwa mtindo wa kuyatumbukiza kwenye sufuria unayopikia chakula kingine,mfano ukiwa unapika wali unayatumbukiza kwenye sufuria ya wali,maji yakishaanza kukaukia unatoa mayai yako unaacha wali uendelee kuiva.Hapo lazima mayai yatatoka vizuri tu
Asante mkuu, ila yote haya unasababisha wewe. Kumbuka uliahidi kunifundisha kupika...

Hivi mpango umeishia wapi? Nipe mautaalam mkuu.
 
kuna mdogo aliugua kwa muda mrefu sana kwa yuko sawa lakini afya bado yaan ule mwili wake wa mwanzo bado kurejea(big) kakonda sana.chakula gani anaweza kutumia ili kurudisha mwili wake kwa haraka.
 
Heshima kwenu wakuu,
View attachment 769390
Mimi huwa napenda sana mayai ya kuchemsha, ila sijajua wakati wa kuchemsha unachanganya viungo gani.

Nategemea kupata mgeni, mgeni wangu anapenda mayai ya kuchemsha na nataka nimsurprise sana..

Tatizo nikichemsha nikaweka maji mengi yanapasuka na kutuna.. Sipendi, nikiweka maji kidogo saa nyingine yanaungua au hayaivi.

Sasa naombeni maujanja yenu. Nataka mayai kuchemsha yawe na radha ya biriani au Pilau.. Yaani nataka yawe mapishi advance ambayo hajayapata kuyaona popote.

Nichemsheje mayai?

Asante kwa kujali..
figganigga hili ni badiliko la kiumbo au la kikemikali? naomba jawabu tafadjali
 
Chukua vile vijiti vya mishikaki ...hakikisha kila kijiti unachomeka mayai mawili mawili kisha yachome had I usikie mlio kama wa gongo LA mboto au Baghdad... Puuuuuuuuuuu.
 
kuna mdogo aliugua kwa muda mrefu sana kwa yuko sawa lakini afya bado yaan ule mwili wake wa mwanzo bado kurejea(big) kakonda sana.chakula gani anaweza kutumia ili kurudisha mwili wake kwa haraka.
Mbuzi katoliki a.k.a Kitimoto mara 3 kwa wiki kwa miezi 3-4 kafriji kasipomtoka basi tena!..
 
Kitimoto ni chakula haramu. Nyamafu kwa jamii kubwa sana. Wanaokula ni wachache kuliko wasiokula. Kuwa makin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom