Jinsi ya kupika Michembe

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Wakuu nimekuta sehemu nda humo jamaa anaomba ujuzi wa kupitia Michembe.
Hivyo nikaona nishee na nyinyi japo kwa uchache.

Jinsi ya kupika Michembe
1-Chukua Michembe inayo tosha kwa ajiri ya kupika, osha(Unaweza osha na maji ya vuguvugu/ya baridi).
Harafu ziache.

2-chemsha maji haya Ni kwaaji ya kupikia. Kisha weka kwenye chombo.

3-weka maji kwa kukadilia yatakayo tosha kupikia Kisha weka Michembe kwenye hayo maji na weka chumvi kidogo bandika.

4-funika kama unapika mboga utakua unaangalia maji yakioelea ongeza, hadi zitakapo iva.

5-Zikisha iva anza kupondaponda hadi ziwe laini Kisha opoa.

Hapo pishi lako la Michembe litakua Tayari.

Mwenye ujuzi Zaidi anaweza ongezea

Imeandikwa na Emmanuel Kasomi
 
Ni aina ya vyakula vya asili vinavyo patikana hasa kanda ya ziwa kwenye jamii ya wasukuma. Ni matokeo ya viazi vitamu vilivyo katwa vipande kama chips hivi na kuanikwa juani Kisha kupikwa
Michembe ni nini mkuu?
 
Wapishi wenzako huhitimisha kila pishi kwa pendekezo la," Chakula hiki kinafaa kuliwa (pamoja) na matunda,wali,ugali,maziwa,juisi,chai etc)

Hayo madude bila kimiminika cha kuyapa escort pembeni sijui kama yatakwea.
 
Asante kwa wazo japo wengine hutumia hivyo hivyo
 
Ni aina ya vyakula vya asili vinavyo patikana hasa kanda ya ziwa kwenye jamii ya wasukuma. Ni matokeo ya viazi vitamu vilivyo katwa vipande kama chips hivi na kuanikwa juani Kisha kupikwa
Sasa happy unakula mboga au viazi vitamu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom