Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?
24 Reactions
138 Replies
5K Views
Wadau habari ya Jioni, kwani ugali una shida gani, mimi nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu. Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa...
15 Reactions
159 Replies
6K Views
Habari wakuu wa JF! Hapa ni Mchina Bakari, ni muda mrefu hatujaonana. Leo nitawafundisha namna ya kupika chakula kizuri cha Kichina, jina lake ni 番茄炒蛋, ambalo linamaanisha nyanya na mayai. Kabla...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Naamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji! Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
15 Reactions
266 Replies
8K Views
Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi. Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500. Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Curry si lazima iwe na viungo vyovyote vya kusagwa bali huwa na pilipili hoho, karafuu, maganda ya iliki, vijiti vya mdalasini, karafuu, na pilipili.asili yake west asia Neno Masala, kwa upande...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo. Ni mara chache nno kuona chakula...
29 Reactions
124 Replies
25K Views
Nafikir mna Weeknd nzuri sana nduguzangu Leo tupike ndiz nyama za Nazi Mahitaji Ndizi mbichi mzuzu Kitunguu nyanya moja(Huwa haipendez kutumia nyanya nyingi) Karot na hoho Nyama...
21 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimenunua njugumawe nusu kilo. Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400 Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku...
16 Reactions
38 Replies
5K Views
MAHITAJI 1.Njugu mawe robo kilo 2.Nazi 1 3.Hiliki punje 10 4.Sukari vijiko vya chakula 5 5.Custard kijiko cha chakula kimoja 6.Arki (Vanilla)kijiko cha chai 1 7.Chumvi kiduchu MAANDALIZI 1.Chagua...
5 Reactions
20 Replies
16K Views
Salam! Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa: 1. Kuku Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho...
16 Reactions
184 Replies
35K Views
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au...
13 Reactions
108 Replies
3K Views
Salam kwenu. Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje ! 1. Changu 2. Sato 3. Kibua 4. Sangara 5. Kambare 6. Perege 7. Migebuka 8. Pweza 9...
4 Reactions
281 Replies
61K Views
Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni. Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna. Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili...
19 Reactions
48 Replies
6K Views
Ni majira ya saa tano Bibi Isabella Martinez miaka 60 anaingia jioni kuandaa chakula kwa ajili ya familia, pembeni anasaidiwa na Mjukuu wake wa kike wa miaka 20, Maria. Bibi Isabella Martinez...
1 Reactions
1 Replies
494 Views
Back
Top Bottom