Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Kichwa cha habari hapo kimejitosheleza Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au Pitahaya Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati Shughuli nyingine za Kitaifa na Kimataifa zikiendelea tujitahidi kula vizuri ili tupate Nguvu zaidi ya kusikiliza na kutoa maoni katika baadhi ya mambo. Lakini pia hata kama una madeni...
14 Reactions
88 Replies
7K Views
Mimi napenda sana kupika kwa njia mbalimbali,isipokuwa kuni na mkaa wa kawaida situmii kabisa,sasa natafuta mkaa mbadala ntaupata wapi.?Kama kuna mdau humu anajua ntaupata wapi na kwa bei gani...
3 Reactions
2 Replies
515 Views
Naomba kujua kwa undani maana naona bei ya Nido imechangamka kuliko Almudhish, je utofauti wake ni upi?
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘 Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni. Thank youuu😘
2 Reactions
9 Replies
716 Views
Habari wakuu, Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
2 Reactions
3 Replies
478 Views
C2 INAWAHUSU Vidokezo vya Nyumbani na Jikoni 👉Kuchoma pete ya kitunguu kutafukuza nzi jikoni Kwa kitani cha kitanda na mito kunukia vizuri weka poda ya mtoto inasaidia. 👉Unapochuma mboga...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri Mahitaji Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata...
27 Reactions
80 Replies
5K Views
Vyakula visivyo vya wanga vinaweza kukupunguzia maisha kwa miaka minne Maelezo ya picha,Vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga vina mafuta na protini nyingi Lishe yenye kiwango kidogo cha wanga...
2 Reactions
3 Replies
822 Views
Wali nyama ni chakula kitamu Sana kina protein na wanga.
4 Reactions
2 Replies
608 Views
Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
65 Reactions
684 Replies
13K Views
Karibuni akina kaka na akina dada. Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake. Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali? Sio kwa matumizi ya...
9 Reactions
170 Replies
120K Views
Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule. Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini Shukran
21 Reactions
139 Replies
6K Views
PAGE I Chakula ukikizingatia unaweza kuenjoy sana maisha siyo kula kula tu. Ila jua nini wewe roho yako inapenda na unataka uleje na kipikweje. Wapo watu wengi wana hela ila hawaenjoy kabisa...
10 Reactions
93 Replies
4K Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
20 Reactions
313 Replies
8K Views
WAkuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarii zenu, Okay so leo naomba tushee vitu tunavyokula ule muda baada ya lunch na kabla ya chakula cha jioni...almaaruf evening tea/ snack Huwa unatumia nini? Kwa upande wangu leo ntatumia...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu...
18 Reactions
83 Replies
5K Views
Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom