Hellow
Leo bhna nilitaka kukimbia hapa sasa gafla natoka njee mh nakutana na wazee wazima hawa hapo wanakula nikasema ngoja nirudi ndani niangalia chakufanya sina mbio za kukimbiza nao ndio...
Wakuu habari za mchana,
Nadhani tunajua watu wengi sikuhizi wamekuwa wakijali sana afya zao na wamekuwa wakitafuta namna ya kutengeneza au kula zaidi vyakula vya asili kuliko vya kwenye makopo...
Wakuu najua jF ni kisima cha maarifa, hakuna kinachoshindikana hapa.
Sasa embu tutoane tongotongo hapa.
Je kuna misosi inayoweza kumfanya mtu atoe kijasho chembamba chenye harufu nzuri ya...
Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa...
Nazozijua Mimi ni njugu ndo nimezizoea ila mtandaoni naona Tena Kuna kitu kinaitwa njugu mawe na kwa English ni almonds wakati njugu zenyewe za kawaida kwa English zinasomeka nuts..na Tena eti...
Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama
MAHITAJI
Unga wa ngano
Nyama
Hoho
Karoti
Chumvi
Mafuta
Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri
Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza...
Wakuu,
Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?
Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta...
Kwenye pita pita nikakutana na samaki hawa, muuzaji anawapatia sifa sana kuwa ni samaki wenye virutubisho haswa protein.
Sijafahamu ni samaki kutoka sehemu gani, ila nilipokula nimepata kuona ni...
Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo...
Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushuhuda wangu kuwa Mimi ni mlaji mzoefu wa mihogo ninapoamka asubuhi
Leo asubuhi nimekunywa kahawa ya maziwa, mkate uliopakwa pinatibata na bluu bendi, tumbo...
Hope mko poa
mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka
Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai...
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa
Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha
Nikawa nawaza chakula jion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.