Wadau wa lugh hii ya kiswahili mlipo sehemu mbali mbali duniani ,njooni mtuambie inchi zipi ukienda kiswahili unaweza kukiuza kama bidhaa yani mfano unaweza pata dili la kukifundisha, nk
Karibuni
Habari wana na binti wa Mungu.
Naomba kuuliza aliyempa Mungu jina la jah ni nani? Na je alikuwa na kusudi gani?
Au pengine ni mimi nimefikiria jah ni Mungu? Maana naona mitandaoni tu " jah...
Huwa najiuliza kama mtu amesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na labda akaenda sekondari pia, inawezekanaje anaandika hivi:
Neno Hakuna anaandika akuna, Usipite anaandika husipite, Ibada...
Salama wakuu.
Kuna hii kasumba mpya imeingia kwenye jamii.ni kule kujaribu kuleta complications kwenye uandishi wa majina yetu hasa yale ya asili ili yafanane na yale ya kigeni.
Huwa sijui...
Habari za Muda huu;
Kuna maneno mengine ni marefu sana kiasi kwamba hata utamkaji wake ni shida kwa baadhi ya watu
Mfano mimi neno limenisumbuaga sana kwa urefu wake ni
Australopithecus
Andika...
MAUAJI YA AQUILINA
1)Swali tunajiuliza,ni nani kama si yeye ?
Kwanza alitueleza tusimjaribu yeye
Leo wametekeleza,alioyasema yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.
2)Risasi alofyatua,alikusudia...
Kama nilivyouliza hapo juu
Je?. Maneno haya ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti Kama kitu kimoja nini umoja wake.
Kama vitu viwili nini utofauti wake
Naombeni kufahamishwa .
JIFUNZE KINGEREZA KWA KISWAHILI
Anza masomo nami mwezi huu 2018.wa pili kwa gharama nafuu kabisa, jifunze kingereza kwa kiswahili kupitia WhatsApp pekee tutajifunza kwa video, voice note, picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.