Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
G
Lugha
0 Reactions
0 Replies
470 Views
MIDEGE ISIYOLIWA HIYO NI MIDEGE GANI? Midege isiyofugika, hiyo ni midege gani? Moyo wahangaika,nitapa jibu gani Mawazo kunifunika, yataniIsha lini Midege isiyolika, hiyo ni kidege gani ...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajf habari zenu wakali wa lugha? Naitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kunisaidia kubadilisha kitabu kutoka kwenye lugha ya kuswahili kuwa cha kingereza, sio bure namlipa. Sharti asiwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila jambo nawakt wake
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Sipendi kuchanganya l na R katika uandishi, muda mwingine inabidi niepuke kutumia baadhi ya maneno ili nisiyakosee, naomba kueleweshwa haya maneno yanaandikwaje kwa ufasaha. Je ni lipi sahihi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi napenda leo kuuliza sijui kabisa. Wana JF huko Facebook naonaga watu wanajiita...Tz nawaelewa maana yao. Lakini sasa je hawa wakina Jr ii, Jr iii, Jr, ndo wanamaanisha nini? Ahsante wakuu JF
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Naandika msikucha, yangu hii bembelezi, Nimpe asojificha, si mwingine taazizi, Ni wewe uso na ncha, katika yangu mapenzi, Nipende kila kukicha, wasojuwa wamaizi. Ewe kwangu ndo machicha, si ya...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
1)Huyu hataki utani,vyema mumchagueni Ilikuwa kampeni,alisema jukwaani Faraja i sandukuni,na kura zenu mpeni Vipi mbona mnalia,joto lazidi kupanda. 2)Yule anacheka cheka,mkamfanya mtani Wengi...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Inawezakana tunajua ama hatui ila huwa nasema mara nyingi kuna mamia ya wazungu wasiofahamu lugha ya kingereza lakini bado ikawa fahari zaidi kuijua lugha yao kuliko hiyo iitwayo lugha ya dunia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pumzika Kwa Amani Tambwe Hiza 1)Kifo ni haki yetu,wote kitatuchukua Hakuna myongoni mwetu,kitakae mbakiza Kifo ni kivuli chetu,nasi kipo twatembe Pumzika kwa amani,Richad Tambwe wa Hiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauliza wadau; Ni muda gani inaweza kunichukua kusoma na kuhitimu kwenye taasisi kama British Council na kuhitimu uelewa wa lugha ya kingereza cha kuniwezesha kuwasilisha hoja katika hadhara...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
1)Mwenzako mi sina raha,sipokuona usoni Inatoweka furaha,ninajawa na huzuni Nahisi ninajeraha,niloumia moyoni Yanitoweka karaha,yaja raha ya rohoni Nakupenda si utani,najianda kukuposa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TAMTHILIA YA KULOGANA USHAIRI NA HISIA Jukwaa linawaka taa,waigizaji wamejipanga jukwaani kila mtu sehemu yake,mtemi amekaa katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba Riwaya ya "Najiskia kuua tena
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wajameni,nianze kwa salamu kwenu.Nimekuwa natatizwa na hili neno MCHEPUKO.Je?linawakilisha jinsia gani Kati ya MME au MKE. Naomba mnisaidie. Mwenzetu
0 Reactions
4 Replies
15K Views
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF, Mimi kijana wenu nimegundua kuwa kabila letu Wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini. Ningependa tufahamiane humu vizuri.
1 Reactions
134 Replies
19K Views
...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kispania au "nyola" kama waitavyo vijana wa Arusha ni lugha ambayo mara nyingi husomwa kama ilivyo. tuanze na salamu. >>HOLA-hi >>HOLA MI AMIGO-hi my friend(wakiume) >>HOLA MI AMIGA-hi my friend...
7 Reactions
27 Replies
6K Views
1:Gari yangu,gari langu 2:Mjomba yangu, mjomba wangu
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada tafadhali kwa anayefahamu sababu za KUTUMIWA KWA VIMAANILIZI VYA MAANA na imuhimu wake anisaidie kwa wale waliobahatika kusoma kiswahili chuo kikuu Ahsanteni sana!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom