Muhogo wa Jang'ombe, sijaulamba mwiko...

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,297
Tupeane tafsiri kidogo wa wataalamu wa lugha na sanaa, tukatazame kidogo baadhi ya vipande vya mashairi ya wimbo wa Bi. Kidude uitwao "Muhogo wa Jang'ombe"

Nini maana ya muhogo wa Jang'ombe?

Bi Kidude anaposema "Sijaulamba mwiko" anamaanisha nini?

"Tutahadhari na mwiko wakati wa kupakua"; hapo alimaanisha nini?

Kuna sehemu anasema "Kamfunge baba yenu wa Athumani, mfunge pahala pana mwana ndani"; alikusudia nini hapa ?

Patamu zaidi pale aliposema, walimwengu kila mmoja na lake, dah tupeane tafsiri kidogo kidogo.
 
Anausifia muhongo wa huko Jang'ombe, ni mtamu balaaa, ukiupika lazima urambe mwiko.... ha ha haaaaa nimeutamani ghafla
 
Anausifia muhongo wa huko jang'ombe, ni mtamu balaaa, ukiupika lazima urambe mwiko.... ha ha haaaaa nimeutamani ghafla
sasa huyo baba athumani ambae alisema afungiwe ndo nani ?
na kwanini yeye bibi anajitetea kwamba hajaulamba mwiko ?
 
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 1]
Hadi tamati naapa muhogo sitonunua
Haikuwa Maimuna aliyekwenda ung’oa
Hadi tamati naapa muhogo sitonunua
Haikuwa Maimuna aliyekwenda ung’oa
Kapata tetekuwanga na ugonjwa wa surua
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 2]
Kula dori kula dori mshindo wa sufuria
Guriri guriri kofia inavuliwa
Kula dori kula dori mshindo wa sufuria
Guriri guriri kofia inavuliwa
Ndie mimi ndie mimi afatae ukoa
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 3]
Mtu akitaka kupa, hakuletei barua
Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua
Mtu akitaka kupa, hakuletei barua
Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua
Kwenda mbio si kupata, bure unajisumbua
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 4]
Mkato wake matege wakati anapokuja
Aliiweka dhamiri ya kumvulia koda
Mkato wake matege wakati anapokuja
Aliiweka dhamiri ya kumvulia koda
Wallahi nimeghairi, kiumbe hana mmoja
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 5]
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Endaeke sina hofu, atarejea ngamani
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 6]
Sina ngoa sina ngoa, kuwa daiwa sitaki
Ni mwerevu ni mwerevu, wallahi sihadahiki
Sina ngoa sina ngoa, kuwa daiwa sitaki
Ni mwerevu ni mwerevu, wallahi sihadahiki
Pambanua pambanua, viwili havipendeki
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus] x2
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
 
Kuna sehemu anasema "Kamfunge baba yenu wa Athumani, mfunge pahala pana mwana ndani"; alikusudia nini hapa ?

Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Endaeke sina hofu, atarejea ngamani
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

Mkuu umetisha sana....Hahahahhaha
 
sasa huyo baba athumani ambae alisema afungiwe ndo nani ?
na kwanini yeye bibi anajitetea kwamba hajaulamba mwiko ?

Athumani ndie mwenye beberu, anatakiwa amfunge beberu wake sehemu yenye majani ale ashibeeee
 
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Endaeke sina hofu, atarejea ngamani
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

Mkuu umetisha sana....Hahahahhaha
sa huyo beberu ni nani au ni nini ?
 
sa huyo beberu ni nani au ni nini ?
Mkuu hujui beberu?

Kiko goats.jpg
 
Beberu kwa kiswahili inamaana zaidi ya mnyama,mfano ni nchi mabeberu
 
Our late legend bi kidude...was the first artist/superstar from Tanzania kupeana mkono na malkia Elizabeth
 
"Mtu akitaka kukupa hakuletei barua.

Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua."

Bibi alikua muhuni!



Rest in peace Bi Kidude the great!
 
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 1]
Hadi tamati naapa muhogo sitonunua
Haikuwa Maimuna aliyekwenda ung’oa
Hadi tamati naapa muhogo sitonunua
Haikuwa Maimuna aliyekwenda ung’oa
Kapata tetekuwanga na ugonjwa wa surua
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 2]
Kula dori kula dori mshindo wa sufuria
Guriri guriri kofia inavuliwa
Kula dori kula dori mshindo wa sufuria
Guriri guriri kofia inavuliwa
Ndie mimi ndie mimi afatae ukoa
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 3]
Mtu akitaka kupa, hakuletei barua
Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua
Mtu akitaka kupa, hakuletei barua
Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua
Kwenda mbio si kupata, bure unajisumbua
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 4]
Mkato wake matege wakati anapokuja
Aliiweka dhamiri ya kumvulia koda
Mkato wake matege wakati anapokuja
Aliiweka dhamiri ya kumvulia koda
Wallahi nimeghairi, kiumbe hana mmoja
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 5]
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani
Umfunge umfunge pahala panapo jani
Endaeke sina hofu, atarejea ngamani
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus]
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Verse 6]
Sina ngoa sina ngoa, kuwa daiwa sitaki
Ni mwerevu ni mwerevu, wallahi sihadahiki
Sina ngoa sina ngoa, kuwa daiwa sitaki
Ni mwerevu ni mwerevu, wallahi sihadahiki
Pambanua pambanua, viwili havipendeki
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

[Chorus] x2
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Muhogo wa Jang’ombe, sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Kiswahili kipana kweli kuna baadhi ya maneno ndio kwanza nimeyaona leo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom