Jifunze lugha za Kigeni

fe63853e9d8a9b00d4b0e570e3da7f90.jpg
 
Nilidhani na kipyongyang pia kitakuwepo nije kuwa Ticha wao hapo,ila nafundisha private.누구세요
 
Tatizo la Wabongo huwa wanaficha gharama wakati ukimwambia mtu siku akija anakuwa kajipanga.

Hako katangazo naona kama kamekaa kiwizi wizi coz hakajaeleza muda wa kusoma, coz inachukua miezi mingapi, gharama zikoje n.k

Wao wanakimbilia kutoa namba ya simu eti upate maelezo kamili.

Biashara ya namna hiyo (kupigiana simu ndo uanze kunielewesha wakati ulitoa tangazo nusu) ilishapitwa na wakati.

Wakenya wao kila kitu kiko Open
 
Back
Top Bottom