Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hello Comrades!!! It be said frankly that if one wants to learn something he or she must be curious and inquisitive... ofcoz,i genuenely want to learn english,i think the time when i will be able...
1 Reactions
6 Replies
29K Views
Huu msemo wa Waswahili "hujafa hujaumbika" huwa una maana gani?
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa. Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni...
7 Reactions
83 Replies
4K Views
Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno...
5 Reactions
3 Replies
22K Views
Jakaya =Za Nyumbani Kikwete = Asiyejali Namnani Havae = Vipi Aisee Uitwanga nani? = Unaitwa Nani? Watonga wapi = Unaenda wapi Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa) Nienda kukodhoa kidogo =...
0 Reactions
98 Replies
92K Views
Hichi kingereza nimekutana nacho kwenye ofisi ya msomi mmoja, akimkaripia muajiriwa wake na vikingereza vya kuungaunga. I'm not your friend my friend,wasomi wa Tanzania buana!!
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa yeyote anayejua anifahamishi hizi mbegu zinazoitwa kwa kiiingereza Flax Seed au Lin seed zinaitwaje kwa kiswahili na ni wapi naweza nikazipata Dar es salaam, au mahali...
0 Reactions
17 Replies
69K Views
Very happy to post this information regarding the Kiingereza HkH English course, which is now available in printed form too. Don't forget the app, which includes a number of books, can still be...
1 Reactions
3 Replies
756 Views
UKIMWITA MAMA ATAITIKA? 1 Kuna hii nasikia, ati mjomba ni mama Hii ndio nashangaa, hivi nani alisema? Kila nikifikiria, n'ona moyo waniuma Hivi ukimwita mama, ya kweli ataitika? 2.Mama mzazi wa...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Wakuu naomba kujifunza lugha ya Kikurya. Kwa mwenye ujuzi na hili naomba atupie maneno ya kiswahili pamoja na tafsiri yake kwa kikurya au kinyume chake. Tupia maneno mengi kwa kadri uwezavyo.
1 Reactions
15 Replies
22K Views
Kama hawana tofauti, kwa nini mnyama mmoja tupoteze muda kumpa majina mawili?
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Watu wanaotamka ridhiki badala ya riziki wanakuwa na matatizo gani ya ulimi au ubongo?
2 Reactions
16 Replies
930 Views
Kuna siku tulitembelewa na baharia ambaye ameishi pakistan,india,ufaransa na kwa sasa anaishi canada na hizo nchi zote kuangaika kwake ametumia mda mrefu tokea akiwa kijana katika safari ya...
4 Reactions
3 Replies
492 Views
Habari zenu wakuu? Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills. Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke...
17 Reactions
95 Replies
3K Views
MSAADA anaejua neno chaw akwa kiingereza maana tunakorlekea hii ndio kazi inayoheshimikaa
3 Reactions
17 Replies
928 Views
Nawaamkia wana JF huku nikiwa na machungu makubwa kwa kuondokewa na mmoja wa magwiji wa Kiswahili hususan katika taaluma ya Ushairi Huyu si mwingine bali ni mzee Jumanne Mayoka. Hapa chini...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
“A poem cannot stop a bullet. A novel can't defuse a bomb. But we are not helpless. We can sing the truth and name the liars.” ~Salman Rushdie. Huyu mdau amenisurika kuuliwa na utawala wa...
1 Reactions
0 Replies
489 Views
Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili? Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga. Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa...
5 Reactions
9 Replies
861 Views
Habari zenu wana kiswahili... Kwa mara nyengine nimeamua kuibukia huku tena ili nieleze dukuduku langu juu ya maneno kama mawili matatu ambayo sijavutiwa nayo!. pia ningependa mabaraza ya...
13 Reactions
67 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…