Nini maana ya NDWELE?

Nini maana ya NDWELE?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,227
Reaction score
1,263
Habari zenu wanajamii forums

Leo naomba kuelekezwa maana ya neno NDWELE maana tunasema yaliyopita si NDWELE tugange yajayo sasa nini maana ya NDWELE maana ninalisikia kwenye huu msemo tu ila kwenye mazungumzo mengine halijitokezi sasa maana halisi ya NDWELE ni nini?
 
Ndwele ni upele,ukurutu kujikuna kwakwenda mbali
Sasa ukiambiwa yaliyopita sindwele inamaanisha yaliyopita isiwe kama ugonjwa huo mbaya ambapo unaacha makovu yakudumu mwilini
 
Back
Top Bottom