Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ni leksimu gani , ukitaja hurejelea utajo na urejeleo kwa wakati mmoja? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
827 Views
For those who think English is hard, no way its very easy language just flow with this post i gave out few example of well understood sentences and phrases. 1) The bandage was wound around the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu mbalimbali mlejee kichwa cha habari hapo juu. kama kuna neno la kiswahili fasaha unalijua unaweza kuliweka ikipendeza litungie sentensi. Nataka kuanza kuyaongea na Kuyaandika popote pale...
0 Reactions
63 Replies
14K Views
Mara kadhaa mmekuwa hamzingatii uandishi wa Kiswahili sanifu kwenye maelezo yenu ya picha. Ninyi ni miongoni mwa vituo bora kwa habari hizi 'wrong captions' zinawaharibia sifa, rekebisheni...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kwa wenye uzoefu wa sheria na itifaki His/her majesty najua ni Jalali (Mfalme) na Jalalati (malkia) mfano Jalalati Malkia wa Uingereza His/her excellency (ukiwa unamzungumzia Rais)? Right...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nini maana ya neno kuoana?! Nini Tofauti Kati ya kuchumbia/kuchumbiwa na kuposa/kuposwa?! Mfano:- Unasikia mwanamke/mwanaume(mwanamme) anasema Mimi na mke/mme(mume) wangu tumeoana. Wanamaanisha...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hi members, I would love to get some info on TOEFL please,where and when it can be done Regards
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajukwaa Omba hela, omba chochote kitu waweza nyimwa.....lkn mgaagaa na upwa haliwali mkavu Nianze kuomba wale wanaojua kujibu fyoko...waendeleee sisi hatutochi hatupoi kujifunza...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali. Mfano...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia, Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea, Alitoka siku moja, njaa aliposikia, Njaa aliposikia, Sungura nakuambia Sikuile akaenda, Porini kutembelea, Akayaona...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kuuliza sio ujinga mimi nasoma humu ndani kila siku najiuliza hili ni tusi au nini leo naomba tuambiane huli neno maana yake ni nini na chimbuko lake pia KIGODORO!
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Naombeni kueleweshwa maana ya hili neno, nilisikia likitumiwa redioni "nchi za ushoroba wa Kaskazini".
1 Reactions
6 Replies
13K Views
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili kupitia vyanzo mbali mbali. Moja ya neno lisilopewa kipaumbele kwa kutamkwa mara kwa mara ingawa ni la muhimu ni neno "kiate." Neno...
10 Reactions
19 Replies
12K Views
Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali. Mfano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu wa lugha na wadau wa elimu nawaomba mnidadafulie mchango wa Noam Chomsky katika sarufi ya kiswahili.
3 Reactions
4 Replies
30K Views
SWALI.Lugha ya mazungumzo ndio msingi mkuu wa lugha ya ishara.Jadili Wadau hebu tusaidiane hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima mbele wadau........Ni wazi hapa nyumbani ukanda fulani au makabila fulani yanatambuana na kutambulika kirahisi kwa lafudhi zao. Mifano ni mingi lakini akiongea Msukuma toka Shinyanga au...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Nilipokuwa shule (ya msingi) tulikuwa tunakumbana na maswali yanayondikwa kwa namna tofauti tofauti, mfano unaweza kuulizwa kuwa "Kokotoa mzingo wa mduara iwapo kipenyo chake ni mita mbili"...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ha ha ha ha We Tazama Video Yao Hapa Chini Kisha Toa Maoni Yako
1 Reactions
59 Replies
10K Views
I’m sorry if at times I come across as being too pedantic when it comes to English grammar and etc. Sometimes I just can’t help it. I’m hardwired that way, I reckon. Now look at this here! Where...
4 Reactions
60 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…