Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
katika king'amuzi cha startimes kuna channel ya *swahili kuna vipindi vinaandikwa PG na GE, mf kipindi kifuatacho kina kiwango cha PG au GE hivo kinafaa au hakifai kwa watu wenye umri flani, je...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Kawia ufike kwa kiingereza inatamkwaje ?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimekuwa nikiuliza sana ,imekuwaje kizazi cha sasa hakigundui tena methal na nahau kama ilivyokuwa zamani! Nimetumia neno kugundua kwa kuwa nimekosa neno sahihi. Je, ni kwanini methali ,nahau na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana nauliza kama kuna mtu nakumbuka beti zote za shairi la WACHEZA BAO LA KETE WAONGO NA WAZANDIKI lililotungwa na Saidi Nyoka( Udogo si Hoja)? Natafuta Malumbano yao na Andanenga kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Erev tov - Habari za jioni. hatuwezi kuandika kwa zile alama maana keyboards za android hazina hebrew aphabets. karibuni. sio lazima uwe unakijua, tumia hata google. Lugha hujifunzwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, natumai mu wazima wa afya. Embu tufahamu ni lugha ngapi tunazozungumza. Binafsi ninaongea jumla ya Lugha saba (7). 1.Kiswahili (swahili) Ni lugha ambayo ninaongea na kuandika...
4 Reactions
93 Replies
13K Views
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani; >She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much. PRESENT SIMPLE...
5 Reactions
105 Replies
65K Views
RRONDO ndugu yangu kitu cha kwanza katika lugha ni lazima ujue alama kuu zinazoitambukisha lugha fulani ni lahaja na lafudhi Lahaja ni namna ya utamkaji wa maneno na lafudhi ni namna uongewaji wa...
13 Reactions
97 Replies
9K Views
Tueleze huu msemo ni kwenye tukio gani unalolikumbuka ulishawahi kuufanyia kazi? "DAWA YA MOTO NI MOTO"
0 Reactions
7 Replies
9K Views
hivi nini maana ya kwepa mshale/mishale?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habari, Jana wakati Mkuu wa nchi akizungumza na wafanyabiashara alisikika akitoa maagizo kua watumishi Fulani wakamatwe kisha 'wasondekwe ndani' Je neno ''kusondeka ndani"ni sahihi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nimeona kwenye Barua iliyoandikwa na ubalozi wetu nchini Oman na Muscat kwamba "Soft copy" Kiswahili chake ni nakala laini. Hebu wajuvi wa Lugha yetu hii adhimu tusaidieni kama tafsiri hii ni sahihi.
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndugu zangu wanajamii foram na wasalimu salamu za kimakinika. Mimi charity. Ninapenda sana kujifunza, kujua na kukuza uwezo wangu katika kuzungumza na kutumia lugha ya kiingereza. Nimatumaini na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naona watu wanatumia neno hili ktk maongezi yao sijajua
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pata maarifa ya kina kuhusu lugha ya Kiswahili kupitia tovuti hii >>>>>> https://mwalimuwakiswahili.co.tz/ Pakua App ya Mwalimu wa Kiswahili hapa πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je...
1 Reactions
27 Replies
53K Views
Mwaka jana nilikutana na neno Diaba, lile ndoo kubwa la kuwekea maji, sikuwahi kujua linaitwa hivyo hata hivyo sikuwahi kulitumia mpaka hiyo siku mimeenda kununua kwa ajili ya kuwekea taka
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News. Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…