Nini maana ya mchana tochi usiku magogo?

Ubezea

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
1,232
629
wAkuu umofia kwenu? kuna huu msemo unaosema...mchana tochi usiku magogo? je nini maana yake?
 
Maana yake.. magari yakitembea mchana kila sehem unakamatwa na trafk wanakupiga toch kama upo speed kubwa.... Na yakitembea usiku wanakutana na majambazi wameweka magogo barabaran ili usimame wakupore.... Ndo maana madereva hawajui wafanye safari zao mchana au usiku
 
Mambo ni magumu kwa madereva ... mchana wakipita Barabarani na magari yao wanakamatwa na Polisi (tochi), ... na wakisema wawekwepe Polisi mchana kwa kutembea usiku pia wanawekewa magogo na Majambazi wanaporwa mali zao.

Kwahiyo msemo huo huo unatumika kwa mtu yeyote kuonyesha kuwa hakuna afadhali katika hali uliokuwa nayo .. hata ukifanya Plan B!

mabasi1.jpg

img-20170803-wa0073-jpg.557422

cc: Ubezea . Linguistics . Magisha .
 
ooh kumbeee
 
pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom