Kwenu wataalam wa lugha, huwa najikuta natumia au kusikia neno mbovu likitumia kwa nyakati tofauti moja likimaanisha mbovu( kwa mfano Taswira ilikuwa mbovu),Pili; na mara nyingine utasikia kwa...
MSHAIRI ALIEWAHI KUONGOZA MATOKEO YA KITAIFA YA SEKONDARI NA KUKAMATA NAFASI YA KWANZA KIMKOA NA KITAIFA.
Siku moja nakumbuka mtu mmoja aliwahi nifata na kuniuliza "nifanye nini ili nami niwe...
Shikamoo wakuu. ningetaka kuwauliza kuwa "wamekuwa kuona sisi" ni sawa au la? lakini kwa kawaida tuseme "wamekuwa kutuona".
zaidi ya hayo, "yako majirani karibu zaidi" ni sawa au siyo sawa...
Kuna msemo mmoja ambao watu wameuzoea sana utasikia jamaa anamguu mkubwa kama nini au anapiga kelele kama nini au mshkaji anaongea kama nini, anakula kama nini
Sasa naomba wakuu kujua hilo neno...
I greet you all ,
Allow me to share my experience with you. It was last week when I traveled in our village to greet my parents. Actually it was quite long time since we I go there , almost 5...
Asalaam,
Ningependa kufahamishwa maana rasmi ya hili neno "Ground Floor" kwa kiswahili.
Ni sahihi kuitamka "Ghorofa ya Chini" au kuna maana nyingine wakilishi.
NB: Imebidi niongeze na hili...
In my daily routine, I come across many interesting issues. Some I could easily get explanation but others not easy at all.
One day I was passing on my way and met with two street children. One...
One day will become a top 10 millionaire in my country, meaning that I will be a rich person starting to the level of my family all through to my region, called the home of "kusadikika"
I will do...
Nimekumbana na video hii huko Youtube na imenifurahisha nikaona laba niilete kwenye jukwaa hili. kama kuna mtu aliwahi kuileta, basi modereat anaweza kuiondoa
Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea...
Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au...