Wadau wa lugha ya Kiswahili mnieleweshe katika hili

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Nimeipata sehemu. Naombeni tueleweshane kuhusu hili. Kuna mtaalamu alitusahihisha karibuni, nilikuwa nikimhoji mwanahabari wa BBC Sammy Awami. Jamaa akatusahihisha tuliposema Uzamili ni Masters.

Masters = Umahiri

Mnasemaje?
 
Yote yanatumika na Taasisi ya Kiswahili pale UDSM yanakubalika yote, kuwa BBC sio guarantee ya kuwa hakosei
 
Back
Top Bottom