Msaada: Nataka kufahamu Kiingereza

Martine Tibe

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
221
156
Nina miaka 27. Ninakipenda Kiswahili kwa maana ni lugha mama ya taifa langu ukiacha kabila langu la Kizinza. Natamani kufahamu lugha ya Kiingereza kwa kuongea na kuandika vizuri sana. Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namna nitakavyoweza kusoma online au kwa vyovyote vile aniambie.
 
Nina miaka 27 ,Nina kipenda Kiswahili kwa maana ni lugha mama ya Taifa langu ukiacha kabila langu la KIZINZA ,Natamani kufahamu lugha ya kiingereza kwa kuongea na kuandika vizuri Sana.Tafadhali kama kuna mtu anafahamu namna ntakavyoweza kusoma online au kwa vyovyote vile aniambie
Njoo PM tuongee jinsi nitakavyokufundisha online
 
Kamsearch Google huko huwezi kumkosa mtu maarufu huyo
 
Back
Top Bottom