Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wadau hasa mlioko dar naomba tujikumbushie kidogo kuongea kilugha, inasemekana nyie wakurya mliokimbilia na kulowea pwani ya dar es salaam siku hizi hamjui kuongea lugha zenu za aslili na wengine...
0 Reactions
88 Replies
14K Views
Kadri siku zinavyoenda lugha yetu adimu ya kiswahili inazidi kuchimbiwa kaburi. Leo vijana wetu hawawezi kuongea kiswahili fasaha kwa dakika 5 mfululizo, lazima aweke na neno au maneno ya...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
1.Drone 2.Paramilitary 3.Paramedic 4.Hypermarket 5.Spoke(of bicycle wheel) Ahsante
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wadau, nini maana ya kisirani? Je mtu mwenye kisirani utamtambuaje?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
NUKUU ISHIRINI NA TANO ZA SHAABAN ROBERT KUTOKA KATIKA RIWAYA YA KUSADIKIKA. 1. "Kipawa chochote cha mtu kama hakikuongozwa vyema huweza kuwa hatari au maangamizi kwa wengine". 2. " Mchwa...
3 Reactions
10 Replies
11K Views
I am an advanced level English language teacher, I don't have a syllabus; any one with it please may you upload it!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajameni, nimemsikiliza Mh Rais ila pale aliposema maneno kupigwa tunch nimeshindwa kumuelewa. Nisaidiane..
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo nikiwa napitia jumbe mbalimbali zinazotumwa ktk mitandao ya kijamii, nimekutana na ujumbe mfupi uliotumwa ili kumfurahisha msomaji lkn ulikuwa hakika ni wenye kutafakarisha. Ujumbe wenyewe...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika pita pita zangu nikakutana na haya maneno ya kiingereza ila yamenitoa K.O nikaona hadi kizunguzungu hatari!! anaejua kiswahili fasaha cha haya maneno anisaidie: Ecstatically Flabbergasted...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wengi hasa vijana wa enzi zetu zike za Ben Mtobwa na wengine,tulikuwa tukiwafuatilia sana hawa jamaa wawili Joram na Willy,ukweli ni kwamba wazee tulifaidi mengi sana,siyo kama vijana wa sasa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
kama title inavyosema apo juu wakuu nimekua nikilisikia hili neno ila sijapata maana yake kamil neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake na isitoshe kuna watu wana litumia sana humu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeipata sehemu. Naombeni tueleweshane kuhusu hili. Kuna mtaalamu alitusahihisha karibuni, nilikuwa nikimhoji mwanahabari wa BBC Sammy Awami. Jamaa akatusahihisha tuliposema Uzamili ni Masters...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Jinsi ya kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza kwa lafudhi ya Nigeria: Google - Gugu Husband - Ozzband Arsenal - Ass Na Paper - Pay Pa Concern - Con Son XBOX 360 - Eggs Bugs Tree Sisty...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Ekyawe kyawe kijunda nokala!
13 Reactions
1K Replies
262K Views
Nina miaka 27. Ninakipenda Kiswahili kwa maana ni lugha mama ya taifa langu ukiacha kabila langu la Kizinza. Natamani kufahamu lugha ya Kiingereza kwa kuongea na kuandika vizuri sana. Tafadhali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali nisaidieni naandika andiko la kiswahili lenye maneno ya kisaikolojia natafuta maneno ya kiswahili yanayoweza kuwasilisha maneno haya "Conscious mind" na "Subconscious mind" tafadhali...
0 Reactions
19 Replies
19K Views
MAMBO MATANO MUHIMU TOKA KWA MLOKA KWENDA KWA WASHAIRI CHIPUKIZI. Amani ya mwenyezi Mungu ziwe nanyi nyote,baraka zake ziwafikie na Mola awaepushe na kila la shari lisitufike. Charles Mloka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha Uzi: Naomba tafsiri ya shahada hizi kwa Kiswahili zinaitwaje? Postgraduate Diploma, Masters Degree, PhD
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chagua namba ya kabila lako na uandike ahsante kwa kabila lako: Mfano 12. Aika 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7...
6 Reactions
75 Replies
14K Views
Mtakie mabaya mtu yoyote anayekukera mpaka unakosa raha. Naamini kwa kufanya hivyo, roho yako utakua sawa. Karibuni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…